MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Wilitaka wenyewe wacha tuwapeteh teh teh LIGI NDOGO
Wilitaka wenyewe wacha tuwapeteh teh teh LIGI NDOGO
haaaaaaaaa haaaaaaaa umepanik kumbe ukweli unauma hivyoWabongo washenzi kweli, unakuja JF kudiscuss choo? Akili yenu ni kama hizo choo tu!! Huna chochote cha maana?? No wonder your country is poor
Ukweli unauma sanahaaaaaaaaa haaaaaaaa umepanik kumbe ukweli unauma hivyo
Tutawaze ama tutawathe? We vipi?Usitupangie cha kujadili halafu MTAWAZE[emoji57]
Unamkosoa kwa ujinga tenaTutawaze ama tutawathe? We vipi?
Kule kenya talk.walisema damu zetu zime kataana sijui walimaanisha nini!!Lakini naona hawa WaTanzania wana mafeelings na Wakenya. Shows that we are doing something right
Waosha tundu la kinyeo na maji? Toilet paper is more civilised man. Kuosha asshole na mkono ni savage bana. Barbaricwakenya hasa wa kutoka county za bara,hawana ustaraabu wa kuosha tundu la kinyeo kwa maji(kutawaza).
wanadai eti wao wamezoea desturi chafu ya mzungu ya kutumia TP (toilet paper).
acha kukurupuka,msome vizuri mleta mada na umuelewe.Lakini naona hawa WaTanzania wana mafeelings na Wakenya. Shows that we are doing something right
acha kukurupuka,msome vizuri mleta mada na umuelewe.
tukio la wakenya kutosafisha choo baada ya kumaliza haja zo, halijatokea kenya,limetokea tanzania.
ulitaka mleta mada ali-address bila kuwataja wahusika ambao ni wakenya?.
MK254 ujanja wote hapa jukwaani kumbe hampigi deki kwenye kanyeleo ka kunyelea.
Vipi kuna ukweli ndani yake au sound tu za dar skendo!?
Hehehe mimi nilijua hayo ya kutawaza baada ya kuja Bongo. Mnajiingiza vidole kwenye matundu yenu mkitumia kopo la maji eti ndio kutawaza halafu maji yalivyo adimu kwenu baadaye unakula ubwabwa kwa mikono.
Ndio maana kwenu kipindupindu full kwa mbele.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]La nimesoma thread naona hisia za WaTanzania dhidi ya Wakenya
Umekosa Hoja!!Hehehe mimi nilijua hayo ya kutawaza baada ya kuja Bongo. Mnajiingiza vidole kwenye matundu yenu mkitumia kopo la maji eti ndio kutawaza halafu maji yalivyo adimu kwenu baadaye unakula ubwabwa kwa mikono.
Ndio maana kwenu kipindupindu full kwa mbele.
babu,baba,nyanya,mama yako kule ushagoo kwenu mashinani bila shaka hata hizo toilet paper hawazijui.Waosha tundu la kinyeo na maji? Toilet paper is more civilised man. Kuosha asshole na mkono ni savage bana. Barbaric
You are so insensitive!Na nyie acheni kula nyama ya binadamu. Saitani.
View attachment 498352
tundu na kinyesi vyote ni vyako mwenyewe halafu unavionea kinyaa?!!.wewe ni mtu wa ajabu sana.Hehehe mimi nilijua hayo ya kutawaza baada ya kuja Bongo. Mnajiingiza vidole kwenye matundu yenu mkitumia kopo la maji eti ndio kutawaza halafu maji yalivyo adimu kwenu baadaye unakula ubwabwa kwa mikono.
Ndio maana kwenu kipindupindu full kwa mbele.
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?