Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,584
- 48,743
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?