Inategemea na mahali shughuli imekukuta, upo katikati ya mjini ghafla unataka kuharisha, kwani ufanye nini. Japo Nairobi vyoo mjini huwa vinatunzwa vizuri sana maana tunalipia Kshs, lakini hapo Bongo kwanza maji yenyewe matatizo. Niliwahi kulipia choo cha public nikitegema service nzuri, duh....
Bora muwe na vyoo vya VIP, tatizo Tanzania hamjazoea mambo ya middle class, ujamaa uliwalemaza kiasi kwamba hamna sehemu unapata service nzuri kwa hela zako. Mpo na middle class wachache sana 70% of Tanzanians continue to live with less than $2 per day angalia World bank report
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges
Halafu hayo makopo yana maji kidogo, imagine Mtanzania unaharisha mjini halafu unategemea kutumia hayo maji machache kujiingiza vidole humo ukijiosha eti unajitawaza.