Lakini hiyo ni common decency ku flush choo baada ya kukitumia, mtu hapelekwi shule kufunzwa common sense, huwezi tuburuza wakenya wote kuwa hatujui kutumia choo, kwa sababu ya watu wachache. hio ni dharau na pia inaonyesha how close minded you are. Swali langu ni, hapo mnapopangisha nyumba, mna share choo? bafu je?
Alafu wakenya wengi wasio waisilamu na wasiotoka pwani ya Kenya huwa hawatumii maji kutawadha baada ya kuenda haja, unaweza judge mtu kwa kuwa hatawadhi? inakuhusu vipi wewe kama natumia tissue baada ya kujisaidia na nikapanguza vizuri, kama si uswahili tu na udaku haingekusumbua.
kabla hujawafungulia mada majirani wako hapa, ulijaribu kuwaeleza jinsi mnavyotumia choo hapo kwenyu? coz honestly I fail to understand how a full grown personal can lack the decency of cleaning up after themselves.
Tia bidii dada uishi maeneo kidogo yenye ustaarabu, mambo ya kutumia choo na jamii na majirani si sawa.