Hilo kwa kweli sidhani kama kuna Wakenya kujitumbukiza vidole kwenye mku.ndu eti kujitawaza, labda maeneo maneneo ya Pwani, binafsi nililiona Bongo kwa mara ya kwanza. Unakuta choo ina kopo halafu maji machache jameni na hamna sabuni, ukiangalia sana kucha zenu nyeusi nyeusi maana kuna viashiria vya mavi hata kusalimiana kwa mikono huwa ni aibu, nahisi kinyaa.
Wakenya huwa tunatumia toilet paper, unachamba taratibu na vizuri, baadaye ukienda nyumbani unaoga fresh sasa, huko nyumbani ukiwa kwa bafu upu ruksa hata kutumbukiza lakini sio mjini kwenye mishe maana utanuka ma.vi kwenye hilo joto la Dar. Halafu vile madaladala yenu mnajazana....kha
Kuna Mtanzania kaanzisha mada huku halafu kauli za mwenzenu chini hapa
Kuchamba kwa Maji au Toilet paper?
maji yapi? haya haya bongo au yapi? haya yanayouzwa kwenye madumu na vijana waliojiajiri? haya ya Dawasco?
Haya ni maji au tope? yanausafi gani?
Pili: ukienda kwenye public toilet unanawa aje? kwa makopo usoyojua usafi wake? maji usiyojua yametoka wapi? kama upo uswazi, how do you do that, I mean are you guys serious? sabuni ya kunawa mikono unaipata wapi? hata kwenye ofisi za serikali hali ya vyoo ni mbaya sana.....