Wakenya jifunzeni kusafisha vyoo mnakera

Status
Not open for further replies.
Hata mimi nimeshangazwa sana!
Wanadiscuss MAVI kurasa karibia 20, haki ya Mungu hawa ni laana tupu Afrika Mashariki, hawa ni mizigo Mungu alituadhibu kwa kutuwekea Afrika Mashariki, ndio maana hamna ushirikiano wa kimaendeleo,kielimu,kiafya,kibiashara,kiteknolojia n.k ukanda huu ,mpango ukiletwa mezani hawauelewi,wanauogopa na hali ya maisha ya wakaaji wa ukanda huu upo duni zaidi ya kanda zingine zote.
Wanaoutusaidia kuuinua Afrika Mashariki ni RWANDA tu pekee!
Wengine hawa ni tope,mzigo na laana tupu.
Natamani hawa bongolala milioni sitini wangalikua wanyarwanda leo hii EA ingalikua mbali na juu zaidi.
Shiiiit!
Hapa kitu kikubwa ni kwamba jifunzeni kusafisha inyee. Kwikwikwikwikwi.
 
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?
Miss Natafuta, wew ni miss kweli?, mwanzo kabla niendelee, nakushauri utumie jina lengine kama username, unajipatia kaheshima flani ukijiita miss na hata hauna ustaarabu wowote....
Kawaida mi nimezoea wanawake hua wana ka udaku na wivu lakini mara nyingi hua ni kwa wanawake wenzao...... Haujatueleza, hao wa kenya ni wanawake au wanaume au ni mchanganyiko?

Ngoja nikuchambue ki saikologia...
Kuna mambo flani muhimu yaani (main subject points) umetaja ambapo nashuku ukweli ni kwamba hao wakenya hawakufanya lolote kwa vyoo vyenu... Ni unafik na rumour mmoja wenu alianzisha ili kuharibia jina la hao wakenya kwasababu nyote mlikua mmejawa na chuki na wivu kwa wakenya, mkaona kuwaaibisha kama hivyo ndo kulipiza kisasi... hii inatupatia fununu ya vile wakenya wanavyoishi bongo..... wanakuchekea chekea tukiwa karibu, tukiondoka mwaanza kutuponda ''Umeskia vile anaongea anajifanya kaa mzungu? kwani anatudharau anaona sisi mabbwege"

ndani ya hio aya moja umetumia maneno kama .......
  • hawa jamaa wakienda chooni
  • choo chetu wabongo
  • eti ni wasomi wanajua kiingereza
  • wakati hutawazi

Umechanganya mambo mengi sana,, inadhihirisha chanzo cha hii issue si choo kichafu wala nini, mnachukia wakenya ofisini mwenu, mnawaonea wivu,..... Hivi we mwenyewe personally, ulienda chooni ukapishana na mkenya anatoka chooni na ulipoingia ukakuta mavi kila mahali???? Na kama ulijionea mwenyewe, nini kilikuzuia kumuita huyo mkenya na kumwambia papo hapo? mbona mnajikusanya kama watz na kufunga choo na kujigawia funguo kisiri siri? kama ingekua Kenya hio story hata haingefika popote, mtu angekuona unatoka choo cha offisi na umewacha kitu bila ku flash, angekuita hapo hapo na akwambie usoni mwako!

umesema mwenyewe, "choo chetu wabongo" , kwahivyo unakiri hamtaki hata wakenya watumie choo chenu......hio xenophobia yenu iko karibu kufikia SA....

nashuku kiini cha chuki yenu hapo offisini ni kwamba wakenya wanongea kizungu kingi na waonekana kujua mengi, alafu hapo unasema "wakati hutawazi".... hii inaonyesha vile watanzania bado ni watu wako na fikra za kinyume yaani 'backward', mkishika kitu kimoja hamuachilii, vitu vyengine vyote ni makosa...... Dunia ni kubwa watu wako tofauti, kama wewe hutawaza kufwatiana na dini au mila zenu, basi haimaanishi mwenzio akitumia tissue ni hatia.

Mi mwenyewe nishawahi kwenda town nikazidiwa ikabidi niende choo mbio mbio, bahati mbaya nilisahau kuchukua tissue inayopeanwa mlangoni ukiingia chooni, baada ya kumaliza shuhuli, ilibidi nifungue mfereji ndani ya choo nijitambe na maji... Baada ya hapo nikaosha mkono kama mara tatu na sabuni lakini bado nikinusa naskia harufu ya mavi..hahaha, nakwambia nilitembea nikijishuku town nzima, demu flani aliniomba simu yangu ikabidi nimwambie imeisha moto (manake nilikua najua nime ishikashika na mkono uko na kaharufu) kila nikiona choo au mfereji nilikua naingia na kunawa mkono tena lakini wapi! bado nikinusa naskia kaharufu... binafsi tokea hio siku niliapa sitawahi jichamba tena, kwa maoni yangu ni njia moja ya kutafuta magonywa manake hata uoshe vipi, mavi ya mtu mzima hayatoki mkononi! Lakini hautaniona nikiingilia waswahili hata siku moja kwa jambo kama hilo manaake kama mkenya "alietembea kwingi na kuona mengi" akili yangu iko wazi.. Naelewa watu ni tofauti, wamelelewa na mila na desturi tofauti na silazima sote tuwe sawasawa ndo tuwe wakenya halisi... wengine hawawezi tumia vyoo vya kuketi, wengine huchuchumaa wengine wanatumia tissue, wengine wanajichamba -haswaa waswahili kutoka pwani na waislamu.... sote ni wakenya wamoja
 
Maelezo mareeeefu sana, swali fupi tu je mtaanza lini kuwa kusafisha!? Tuelewane kwanza hapo.
 
Ntakupa hio kazi, ya kutusafisha ass
Dah!! unataka mtu akusafishie kwikwikwikwikwi. Ama kweli dunia haiishi vituko. Umejiaibisha sana kama wewe ni mwanamke huenda na kule panatoa uvundo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom