Wakenya jifunzeni kusafisha vyoo mnakera

Wakenya jifunzeni kusafisha vyoo mnakera

Status
Not open for further replies.
hao majamaa waketishe chini uwape msomo, tabia mbaya. Lakini hii isiwe reason ya kuja hapa na kutukana wakenya, sio fiti.
kwajumula wakenya walio wengi wana huluka ya uchafu nimesoma nao ila tu lazma uwenauvumilivu.
 
Hata kazini kwetu wapo wa Kenya ni wachafu kweli mtu hapeleki maji ya kukisafishia anaenda tu na toilet paper basi
 
Hao watu ni wachafu sana. Pia usidanganyike, kiingereza pia hawajui - wanaongea cha kawaida tu na kina makosa kibao yani na kiko VERY ACCENTED: Tubaki na Kiswahili Chetu Japo Kiingereza Tunakielewa.
Aise umeongea ukwel, kingereza Chao ni cha kawaida Sana
 
Mitanganyika bana!
Mwanamke katunga tu hadithi/hekaya zake bila hata evidence nyie mmekurupuka, uzi umefika ukurasa wa 13 utadhani jamaa wanazungumzia jambo la maana kumbe ni mavi tu na choo.
Ndo maana hata magazeti ya Tz hamna jambo la maana wanalozungumzia, pia wao ni udaku tu usioaminika.
Hivi kiingereza mnakionea wivu au? Hivi wakenya pekee ndio wanaoweza kuzungumza kiingereza? kiingereza na choo vinahusiana vipi? Ukipita karibu na choo ukizungumza kiingereza, choo kitajiflash au?
Miss Natafuta
This is what we need for your story to considered true.
1.Thermal image of the toilet
2.Video footage showing that indeed those using the toilet were Kenyan.
3.DNA sample from the 'uchafu' to prove that the dirt is actually from a Kenyan.
4. 30 day usage statistics (
Should be stamped by TZ Bureau of Statistics) of the toilet.
5. An MRI scan of your brain to prove that indeed you are not suffering from an acute case of Udakulitus Porojosis.

Otherwise hio yoooote umesema ni porojo na umeitunga kimaksudi maanake hata wewe unajua ni mavi tu na choo ndio waTz wenzako wanaweza kujadili kwa kina.
 
Don't talk nascence,, .. Kuweni watu wazima ninyi WATZ ,!!! kazi kuongea SHITT tyu kwa social media,, hakuna kitu cha msingi vichwa vyenu vimewahi waza???
Wakenya kingereza chenu cha mashaka kweli eti~~~nascence~~~shitt? Kweli kabisa haya maneno yanatamkwa hivyo?
 
kwajumula wakenya walio wengi wana huluka ya uchafu nimesoma nao ila tu lazma uwenauvumilivu.

ntakuwa sawa pia nikisema watanzania walio wengi wamepitia tu shule, hawajasoma na ni wavivu kupindukia.
 
Mitanganyika bana!
Mwanamke katunga tu hadithi/hekaya zake bila hata evidence nyie mmekurupuka, uzi umefika ukurasa wa 13 utadhani jamaa wanazungumzia jambo la maana kumbe ni mavi tu na choo.
Ndo maana hata magazeti ya Tz hamna jambo la maana wanalozungumzia, pia wao ni udaku tu usioaminika.
Hivi kiingereza mnakionea wivu au? Hivi wakenya pekee ndio wanaoweza kuzungumza kiingereza? kiingereza na choo vinahusiana vipi? Ukipita karibu na choo ukizungumza kiingereza, choo kitajiflash au?
Miss Natafuta
This is what we need for your story to considered true.
1.Thermal image of the toilet
2.Video footage showing that indeed those using the toilet were Kenyan.
3.DNA sample from the 'uchafu' to prove that the dirt is actually from a Kenyan.
4. 30 day usage statistics (
Should be stamped by TZ Bureau of Statistics) of the toilet.
5. An MRI scan of your brain to prove that indeed you are not suffering from an acute case of Udakulitus Porojosis.

Otherwise hio yoooote umesema ni porojo na umeitunga kimaksudi maanake hata wewe unajua ni mavi tu na choo ndio waTz wenzako wanaweza kujadili kwa kina.

Finally someone said it, petty fu.ckers this fruits manze, imagine mwere ana discuss shonde kwa foprum inafika page 13, Mungu asaidie hawa mafala.
 
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?
L.O.L!
 
Finally someone said it, petty fu.ckers this fruits manze, imagine mwere ana discuss shonde kwa foprum inafika page 13, Mungu asaidie hawa mafala.

Hata mimi nimeshangazwa sana!
Wanadiscuss MAVI kurasa karibia 20, haki ya Mungu hawa ni laana tupu Afrika Mashariki, hawa ni mizigo Mungu alituadhibu kwa kutuwekea Afrika Mashariki, ndio maana hamna ushirikiano wa kimaendeleo,kielimu,kiafya,kibiashara,kiteknolojia n.k ukanda huu ,mpango ukiletwa mezani hawauelewi,wanauogopa na hali ya maisha ya wakaaji wa ukanda huu upo duni zaidi ya kanda zingine zote.
Wanaoutusaidia kuuinua Afrika Mashariki ni RWANDA tu pekee!
Wengine hawa ni tope,mzigo na laana tupu.
Natamani hawa bongolala milioni sitini wangalikua wanyarwanda leo hii EA ingalikua mbali na juu zaidi.
Shiiiit!
 
Kwani hizi choo za Kibongo wanasema hapa ni aina gani??? Najua mimi choo huflashiwa, na kama hakuna maji, hapo itakuwa shida ya jimbo lenu.

Ya pili, itakuwaje vyoo havina watu wakusafisha? Iwe mnataka nyinyi wenyewe kufanya hiyo kazi, hivi hii nchi ya Tanzania watu ni wa karne gani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom