stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Hilo la kudanganya unalisema wewe sisi ni kuomba MUNGU aepushe ili iwe uongo maaaana hakuna anaependa kutokea majanga, na wewe inamaaana ulikuwa na nia kitokeee? Bas kutatokea huko huko kwenu sio mtwaraKwaio TMA inawezekana wametudanganya?