Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

Ingia www.windy.com mtaona kimbunga live kinapoelekea kwa ss
Kiko Msumbiji... Hakiji tena
Screenshot_20190425-134340.jpeg
 
WAKAZI WA MSIMBATI, MADIMBA, MAHURUNGA, KITAVA, NANGADE, KITAYA, wanaopakana na ZIWA CHIDYA, na MTO ROVUMA ..CHUKUA TAHADHARI
 
WAKAZI WA MSIMBATI, MADIMBA, MAHURUNGA, KITAVA, NANGADE, KITAYA, wanaopakana na ZIWA CHIDYA, na MTO ROVUMA ..CHUKUA TAHADHARI
WAKAZI WA MSIMBATI, MADIMBA, MAHURUNGA, KITAVA, NANGADE, KITAYA, wanaopakana na ZIWA CHIDYA, na MTO ROVUMA, MAHUTA, MASASI, MASUGURU, NANDEMBO, NANYAMBA, KITUNGULI, MNIMA, KITANGARI, NAKALALA, MBAWALA, KITAYA, MIHAMBWE,MNAVIRA, bila kusahau NEWALA .CHUKUA TAHADHARI
IMG_20190425_133249.jpeg
 
sasa si mmkusanywa kwa uoga wenu tu ,ok tangu mkusanywe kuna nini kilichotokea, hujui TMA huwa wanatabiri kama shekhe yahaya

Mkuu kuna vitu vya kufanyia mzaa lakini wakati wenzio wanaumia wewe unafanya mzaa nafikiri kibinadamu sio sahihi, wakati mwingine tunahitaji kuwa serious na serious issues sio kila kitu ni utani
 
Ninefuatilia comments zako bado sijaelewa mantiki yako ya kua mbishi vitu viko wazi kabisa kwenye live streams unaona kinapoelekea
.....naona kama unachukulia kejeli kwenye roho za ndugu zako walioko mtwara ..chukulia baba na mama yako wangekua mpakani huko ungekua unaandika unavyoandika sasa hivi..kwani kukaa hapo airport ni starehe au ni mojawapo ya prevention measures ..kuokoa uhai na mali bora kipi

Wananchi wa Tanzania tumekuwa na mazoea mabaya kila kitu tunafanyia utani hata vile ambavyo ni serious, hii sio JF ya zamani wakati watu walikuwa wanaungana kwenye serious issues kama hii nakuwa kitu kimoja
 
Mkuu fanya simulation ya hiyo attachmnet yako uone, hakiji lakini madhara yako mengi, upepo mkali na mvua kubwa kwa siku tatu zijazo
Yaa fanya simulation peleka hadi jumatatu na jumanne wingu lote lipo mtwara mvua kubwa sana sana sana
 
Back
Top Bottom