Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

Wenye satelite zao za kuona kimbunga kinapoanza ndio wana tunga jina. Kama mtoto wako ulivyompa jina kwa vile wewe na mzazi mwenzako ndio mliojua wa kwanza kama mnategemea mtoto.

Sasa kama ukitaka waite kimbunga Magufuli inabidi tuongeza ujuzi kwenye kutabiri hali ya hewa.
ni kama sisi waafrika tulianza kupika ugali tukaupa jina, wazungu mpoaka leo hawajapata jina kamili mla ugali
 
Mpaka jana saa 1 usiku TMA ilisema kimbunga Keneth kipo KM 600 mashairi mwa mtwara, watanzania wenzetu walipo huko watujuze hali ilivyo tafadhali..
--------------
Saa 7 mchana

Kimbunga Keneth chatua Comoro
--------------
Saa 8:02 mchana

Kimbunga Kenneth: Hali ilivyo hivi sasa mkoani Mtwara Tanzania.
Watabiri wa hali ya anga wameonya kuwa kimbunga Kenneth kimeongeza kasi zaidi na hivi sasa upepo wake unavuma kwa kasi ya kilomita 209 kwa saa.
Soma taarifa pindi zinapoibuka hapa

-----------
Jeshi la zimamoto na uokoaji Tanzania linasema lipo imara kutoa usaidizi
------
Kupitia website ya windy.com au app yao kimbunga Keneth kinapita upande wa mtwara kuelekea msumbuji sahivi, tuombe kipite salama
------
Mpaka sasa kimbunga Keneth kinaingia msumbuji, kinaonekana kina kasi sana kwa sasa, japo uki cheza app ya WINDY.COM kuonyesha mbeleni nini kitatokea inaonyesha kitafika masasi jumapili usiku ila kitakuwa hakina kasi tena na kitaishia hapo.
KENETH MBAYHA SANA
 
Sasa kama wewe huna imani na TMA unataka na wenzako tuone hivyo hivyo? sasa kwa taarifa yako kulikuwa na viashiria vya kutokea kimbunga. Walisema kitaambatana na mvua,na kweli tumeamka na hali ya mvua kiasi na upepo kimtindo kama unataka kukaza kidogo then unatulia unashindwaje kuwa na wasiwasi? Tumechukua tahadhari kwakuwa tuna akili timamu.

Mkuu lini TMA katika maisha yako walitabiri na ikawa kweli?
 
Habari wadau wa JF.

Uzi huu ni maalumu kwa kutupia vituko na vimbwanga vilivyojiri Jana ktk harakati na wasiwasi wa kukabiliana na kimbunga Kenneth mkoani Mtwara.

Msisahau vituko vya mtu moja moja, taasisi, familia, serikali nk.

Mfano RC Mtwara aliwakusanya watu maeneo mbalimbali bila maji na chakula. Alipoulizwa alisema hii ni dharura na hakukuwa na maandalizi. Ni kweli ni dharura lakini huwa kuna idara ya maafa ofisi ya waziri mkuu.

Nawe tiririka bila matusi.
Nilisikitika sana Mheshimiwa alipojibu alivyojibu alipoulizwa kwamba wahanga waliokusanywa hapo walikuwa wametayarishiwa nini katika masuala ya chakula,, akajikuwa hakuna, kwa sababu hiyo ilikuwa hatua ya kwanza tu ya dharura!
Sijui ingekuwaje iwapo kimbunga kingetokea na kudumu kwa siku tatu mfululizo...!
 
Kwani majumbani kwao hakukuwa na vyakula kwa nini wasibebe?????
Habari wadau wa JF.

Uzi huu ni maalumu kwa kutupia vituko na vimbwanga vilivyojiri Jana ktk harakati na wasiwasi wa kukabiliana na kimbunga Kenneth mkoani Mtwara.

Msisahau vituko vya mtu moja moja, taasisi, familia, serikali nk.

Mfano RC Mtwara aliwakusanya watu maeneo mbalimbali bila maji na chakula. Alipoulizwa alisema hii ni dharura na hakukuwa na maandalizi. Ni kweli ni dharura lakini huwa kuna idara ya maafa ofisi ya waziri mkuu.

Nawe tiririka bila matusi.
 
Sasa kama wewe huna imani na TMA unataka na wenzako tuone hivyo hivyo? sasa kwa taarifa yako kulikuwa na viashiria vya kutokea kimbunga. Walisema kitaambatana na mvua,na kweli tumeamka na hali ya mvua kiasi na upepo kimtindo kama unataka kukaza kidogo then unatulia unashindwaje kuwa na wasiwasi? Tumechukua tahadhari kwakuwa tuna akili timamu.
Mtwala kuna kamati Sana kimbunga kisingeweza ndo maana Mimi niliingia ofisini siku hiyo
 
Back
Top Bottom