Upepo unaovuma kuanzia jioni mkoa wa Morogoro ni majini yanakuwa yanapita au ni hali ya hewa ya kawaida?

Mwanangikolo

Member
Nov 10, 2022
51
73
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakubwa naomba wale wajuzi wa mambo wanijibu hili swali mana toka nihamie mkoa wa morogoro yapata mwaka sasa hii hali uwa inanishangaza sana.

Mchana uwa unakuta hali ya hewa imetulia tu hakuna upepo wala vumbi yoyote lakini ikifika kuanzia usiku mida ya saa moja au mbili kunakuwaga na upepo mkali kweli ambao haujulikani unatoka wapi.

Nliwahi kupiga stori na jamaa ang mmoja mwenyeji wa apa akadai sometym uwa ni kinyamkera kinapita(kinyamkera ni mzimu au majini)

Sasa eti ni kweli wadau mana ata apa navyotype huu uzi kuna upepo wa hatari mpaka paa linaweza ezuliwa apa nazungumzia ni moro town mitaa ya boma road, karume, kikundi!
 
Nijuavyo hakuna Mkoa ambao una Wachawi Wabobezi ( Mangwena ) na Watu wapenda Fitina, Ushirikina, Unafiki na wenye Roho Mbaya kama wa Mkoa wa Morogoro.

Ukinibishia katika hili nenda Milembe.
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe mkuu ata kwenye nyumba nliyopanga mama mwenye nyumba kutwa kufukiza maudi na kuleta waganga akidai anakemea wanga
 
Nimekaa huko kwa Miezi Miwili tu ( May hadi July, 2022 ) na Kujifunza mengi lakini nje ya hapo Morogoro pia ni Mkoa wa Kulowea wa Marehemu Babu yangu Mpendwa na nimekuwa nikienda huko mara kwa mara na haya Mapungufu niliyoyataja ni Sugu na Mtambuka kwa Mkoa huo ( huu )

Nasisitiza kuwa atakayenibishia katika hili aende akapimwe haraka Akili Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Milembe Mkoani Dodoma au ile ya Lutindi Korogwe Mkoani Tanga.
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe mkuu ata kwenye nyumba nliyopanga mama mwenye nyumba kutwa kufukiza maudi na kuleta waganga akidai anakemea wanga
Nyumba ya nani hapo Boma road maana najua nyumba zoote toka pale Hetna mpk magorofani kule juu.
 
Na Wachawi wengi na Watu wenye Majungu, Fitna, Unafiki, Wivu na Roho Mbaya kwa 65% wako Kihonda, 25% Chamwino na 10% Saba Saba.

Ukinibishia katika hili wahi upesi ukapimwe Akili Hospitali yoyote ile unayoijua ya Wagonjwa wa Akili ( Mentals ) nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom