Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

Kimbunga Kenneth: Hali ilivyo hivi sasa mkoani Mtwara Tanzania .
Watabiri wa hali ya anga wameonya kuwa kimbunga Kenneth kimeongeza kasi zaidi na hivi sasa upepo wake unavuma kwa kasi ya kilomita 209 kwa saa.
Soma taarifa pindi zinapoibuka hapa
 
Ntwara majanga yenu ni makubwa makubwa tu, gas mlitandikwa kweli kweli mpaka mkakubali itoke, korosho mmerudishiwa na mliobadilishana na makaratasi pesa haijatoka, mwaka jana mlinywesha mbuzi bia mwaka huu mmeruhusiwa kupika gongo ila ipimwe, keneth huyo hapo sijui mtatokea wapi. Poleni ndugu zetu.
Ntwara au Mtwara......!?
 
Back
Top Bottom