Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

Kama tulivyosikia tahadhari iliyotolewa na mamlaka ya hali ya hewa nchini hata mamlaka za hali ya hewa za kimataifa wametoa warning kuhusu kimbunga KENETH ambacho kinajikusanya na kitaipiga msumbiji na maeneo ya pwani kusini hasa Mtwara ...

Wakazi wa MTWARA na watanzania kwa ujumla tumepewa tahadhari ili tuwe salama, ila mliopo Mtwara mnaweza mkawa mnatupa updates za hicho kimbunga na hali ya hewa kwa ujumla..maana wanasema kitaanza majira ya saa tano asubuhi.

Maeneo hatarishi ...CHUNO, MISETI, MTEPWEZI, RELI, MIKINDANI, SKOYA.

View attachment 1080373
Viongozi wetu wanatuhimiza kuchukua tahadhari, ni jambo jema sana.

Kwanini viongozi wa dini zetu nao wasingehimiza maombi na sala kwa Mungu wetu ili atuepushe na hili janga?
 
Huku muda huu wa saaa Saba Hali ni shwali tofauti na muda wa saa tano kulitokea wingu zito na vimvua vua vya hapa na pale Lakini Kwa sasa wingu limeisha Hali inabadilika kuwa nzuri huko juu ingawa kuna matone tone ya mvua endeleee kuombea mtwara hali iiimarike zaid
 
15561873271766169670596651706444.jpg
 
Sure mkuu. Hawana hata ndugu huku. nenda kwenye website Winy.com uone kinavyokuja kwa kasi nchi kavu. Kwa sasa hali imeanza kubadilika mpaka Masasi na Nachingwea. Hata BBC wameanza stream.
Duh
 
Kwa jinsi ilivyo, kikichelewa kufika pwani by usiku wa leo kitaongezeka nguvu kwa speed ya upepo kufikia 200kph Idai kinaweza kuwa na nafuu!!

Mungu muweza aingilie kati na kufanya muujiza ili wasioamini wapate kutubu.
Duuh kwa hiyo bora tuombee kiwahi fika
 
Back
Top Bottom