concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 1,413
- 1,763
Achana naeNinefuatilia comments zako bado sijaelewa mantiki yako ya kua mbishi vitu viko wazi kabisa kwenye live streams unaona kinapoelekea
.....naona kama unachukulia kejeli kwenye roho za ndugu zako walioko mtwara ..chukulia baba na mama yako wangekua mpakani huko ungekua unaandika unavyoandika sasa hivi..kwani kukaa hapo airport ni starehe au ni mojawapo ya prevention measures ..kuokoa uhai na mali bora kipi