Siku zote walikuwa wapi?Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu
yaani unahakikishiwa usalama wako unasema hakuna uhuru na amani?Jiji zima usiku wa leo limetawaliwa na hao watu, hakuna uhuru na amani kabisa.
Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Hawatambi vya mwisho mwisho bali wanaendelea mpaka dunia kumalizika.Wanatamba vya mwisho mwisho
Hujui kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani?Nonsense😎Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Hujui kuwa kunaviashiria vya hatari? Lissu na genge lake wsmejipanga kuvuruga amani ya nchi yetuSiku zote walikuwa wapi?
Wanasimamisha watu wa Nini,si waende mtwara mpakani na msumbiji,waache kazi za polisi na mgamboWana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
yaani unahakikishiwa usalama wako unasema hakuna uhuru na amani?