Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Hao wanaoambiana wasipite njia hiyo ni majambazi
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Tuwakumbushe JWTZ mpaka wa Mozambique magaidi wanaingia na kutoka Kama choo cha umma.wanaua raia na kuteka dar ipo salama salimi .kinachoshangaza IGP Sirro anawaongela Al shabab wa msumbiji nyiny mpo na uchaguzi.ebu fanyeni yenu .mlianza kwenye korosho nyinyi wa kubeba korosho na kulinda ambazo Wana kusini wanaziacha nje miaka yote au kwenye maghala ya matope hakuna wa kuiba?
Watanzania ni wenye busara mno watapiga na kuondoka salama hofu yetu ipo kitaya na mto ruvuma nendeni huko
SISiem acheni kutualibia jeshi letu.
Tayari mmeharibu
Jeshi la polisi
Magereza
Uhamiaji
Usalama wa taifa
Mambo
Mahakama
Tcra
Tra
Mamlaka ya hali hewa
Mamlaka ya viwanja vya ndege
Hifadhini heahima jwtz
 
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
 
Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.

Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.

Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Ngoja leo nipite huko huko nione kama watanizengua....tena nitawanywea kabisa K-Vant na kubeba bunduki yangu niwakabili.
 
Nchi hii bila majeshi usingekuja kuandika hapa kwa amani
Unaandika ukiamini upo salama
Naomba jeshi la wananchi mje mitaa ya kwetu hapa Manzese mtulinde
 
Hao hao JWTZ.ikitokea machafuko wanaweza wakageuka wakawa upande wa pili.
Hivi unajua kuwa uchaguzi wa mwaka 2015 rais akiwa kikwete.majeshi yalifungiwa makambini?
Nchi hii bila majeshi usingekuja kuandika hapa kwa amani
Unaandika ukiamini upo salama
Naomba jeshi la wananchi mje mitaa ya kwetu hapa Manzese mtulinde
 
Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
Mkuu
Tutumie lugha za kistaarabu, kila mtu ana akili hovyo na akili nzuri ina depend na situation.
1. Kwa bahati mbaya tukio linalofanyika lenye lengo jema kwa nini iwe sasa na sihapo mwanzo?
2. Yapo matukio tunapoyapanga sisi wapangaji tuwe tunajiongeza la sivyo siye ndo tutaonekana tuna akili hovyo.
3. Vitisho na taharuki zinazoonekana mitaani zimeanza kuadhili watu kisaikolojia na baadhi wanaanza fikiria kutokwenda kupiga kura kwa kuhofia usalama wao. Hicho ndo tunacho kiita "Juhudi bila maarifa".
Mwisho:
Askari wetu in general wafundishwe kuwa na adabu kwa wananchi. Maana wana adabu kwa viongozi wao tu.
 
Back
Top Bottom