Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.

Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.

Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Mbona hukupiga kapicha mkuu!
 
Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
😂😂😂😂
 
Umeshindwa kutumia japo asilimia ndogo tu ya uwezo wako wa kufikiri mkuu. Ulitaka vyombo vya ulinzi na usalama vilale na kukoroma kama wewe? Sijui huwa mnawaza kupitia viungo gani vya mwili...
Kiungo cha firigisi dingi
 
Chama dola ndiyo hii!

Siku zote, hawakujua kuna watu wanalewa usiku kucha, na kuendesha magari, au kuna wezi na majambazi mitaani??

Leo eti wanatulinda??

Everyday is Saturday............................... :cool:
Wanawalinda nyie mabuda maana hamuwezi kujilinda ndio maana mnakabwa na kutolewa marinda na vibaka
 
Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
Na ndo ccm inavyotaka hivyo tuwe na taifa la wajinga
 
Back
Top Bottom