Wakati wa mimi kusema umefika

Wakati wa mimi kusema umefika

Move yako na Dialo ndio imeanza ama tusubiri ingine?

Kuna thread ulishajibu kuhusu kifo cha Kamanda Chacha Wangwe.

Ndg. Kimbuka ndugu wa Chacha ni binadamu kama unamtumia marehemu ili kujijenga ama kupata pesa inawauma sana.

Why usitafute kick zingine?

Ok weka hiyo move CHADEMA ni mpango wa Mungu.

Acha kupotosha mkuu dialo kaingiaje kwenye Haki saga .umma wa watanzania unataka kujua who was behind chacha death
 
Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.

Stand up and be counted.
 
Mkuu si ulishatoa maelezo polisi? Sasa ni nini tena? Au yale yanayosemwa "mpango wa kutumika" ndo yanaanza?
 
Huyu ni mpuuzi tu na anataka atufanye na sisi ni wapuuzi kama yeye. Kila wakati anasema nitasema, tunasubiria hicho anachotaka kusema, anakuwa kimya. Siku nyingine tena, nadhani kichaa kikipanda anasema, nitasema. Mwenye nia ya kusema si anasema moja kwa moja? Kwani ni lazima aseme nitasema?

Ushabiki wa kisiasa kusitufanye nasi kuunganika na wehu. Huyu sidhani kama yupo sawa upstairs. Inawezekana ameathirika kiakili na kisaikolojia baada ya jela, anatakiwa kusaidiwa kimatibabu, na siyo namna hii ya kumshabikia mgonjwa wa akili.

Mbona mnakimbilia chaka jamaniiiii. Kusema ni kutumika? vitu viwili tofautiii
 
Kwenye fasihi hapo ndiyo kunanini wewe ..........fu
Mbona sioni hicho alichosema kifasihi.
Kama anaweza afunguke tu,
Kama hivyo sivyo atakuja akanushe au aweke sawa ukiona kimya maana ndiyo hivyo.
 
Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.

Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.

Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.

Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.

Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.

Ni ushauri tuu.

Asante.

Pasco.
 
ha ha haa!

Kasi hii ya siasa za vijana sidhani kama zitaisaidia zitaikwamua nchi yetu toka kwenye umasikini uliopindukia. Sipati picha ingekuwaje endapo Mwl Nyerere na vijana wenzake enzi zile wangeshupalia siasa za namna hii.

Lazima tujue muuaji wa wangwe
 
Attachments

  • 1409563666545.jpg
    1409563666545.jpg
    2.8 KB · Views: 360
Siyo mwanadamu atoaye laana lakini unalaaniwa na Mungu utendapo kinyume cha mapenzi yake na ukalitumia jina lake katika uovu wako.

Mmepewa mamlaka hata ya kutoa laana kwa wenzenu? noma sana
 
Mbona unatokwa na povu sana??? Kwanini hamtaki aseme? mnaficha nini?
Akisema leo inamsaidia nini sasa? Ilikuwaje akashindwa kusema mbele ya mahakama na kuepuka kifungo? Vijana njaa zitawaua,mko radhi kuwauza hata mama zenu simply tu mmeahidiwa vipesa kidogo tena vya kurushiwa kwa M-pesa,mnatia aibu sana.
 
Usichezee Jina la Mungu. Mungu haunganiki na mnafiki na wauaji. Kuendelea kutumia jina lake katika uovu ni kutafuta laana zaidi maana ulikwishalaanika wewe na vizazi vyako mpaka kizazi cha 4.

Muovu ni yule aliyeuwa
 
Nimeamini kuwa watanzania wengi tuko nyuma kwenye "fasihi" mnataka nini tena Deus Mallya aseme? mbona mwenye akili tayari anajua ebu angalia nukta zifuatazo:
-Kwamba hatojibu wa vile anapokea matusi, kejeli na kutishiwa kuvamiwa,
-Kwamba ameambiwa akae kimya,
-Kwamba hata wakimtisha na hata akifa ukweli utabaki kuwa ukweli na utaishi hata kwa vizazi vijavyo,
-Kwamba wanaomtisha na kumwambia akae kimya ni wafuasi wa chadema,
-Kwamba tujiulize kwa nini wanamtisha na wanamwambia akae kimya?
-Kwamba wanamwambia akae kimya ili asiseme nini?
-Kwamba kwa nini chadema wana hofu asiseme?
Tukijiuliza na tukichambua nukta hizi tutapata jibu, na kwa mwenye akili jibu liko wazi na kuwa Deus Mallya kwa maana nyingine tayari ameshasema.
Siyo uchambuzi wa fasihi bali mantiki pia inakubali
 
Unachosema ni sahihi kabisa. Lakini huyu sidhani kama atakuelewa, kuna mahali hayupo sawa, nadhani ni kichwani. Magonjwa ya akili yasipofikia level fulani, wakati fulani mgonjwa anaweza asitambulike. Huyu ni mgonjwa. a;iye mzima hawezi kufanya haya ayafanyayo, ya kila mara kusema, nitasema.

Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.

Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.

Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.

Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.

Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.

Ni ushauri tuu.

Asante.

Pasco.
 
Lazima tujue muuaji wa wangwe

Kweli kabisa mkuu Tony Gwanco.

Haiwezekani muuaji wa Wangwe aendelee kula bata kitaani wakati amekatili uhai wa Wangwe.

Natamani muuaji ajulikane haraka iwezekanavyo ili sheria zichukue mkondo wake kama tulivyoona kwa wengine waliouwawa kikatili na wauawaji tunaowajua tayari.
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.
Ushauri mdogo tu,wewe mtoto wa kike,hebu tafuta kazi ya kufanya ikupatie pesa za kukuwezesha kuendesha maisha yako.Hakuna mwanaume atakeukuchukulia serious kwa kutangatanga kwako kwenye social networks.Ni ushauri tu ukitaka unaacha :A S wink:!
 
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz

"Usiwe mtu mzima hovyo,huyu jamaa alifikishwa mahakamani na mahakamani kabla ya hukumu aliapa kuwa kila atakalolisema ni kweli.Sasa kwanini anavyohangaika humu JF kuwa ni muda wake wa kuongea?kwani mahakamani haukuwa muda wake wa kuongea?".Kama anasaka umaarufu kupitia hilo suala anapoteza muda bora akalime vitunguu huko vijijini!
 
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.

Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.

Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.

Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.

Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.

Ni ushauri tuu.

Asante.

Pasco.

Pasco umemaliza kila kitu. Watu sio kuwa wanamzuia kusema bali hizi tabia za tisha toto zinaonyesha anachotaka kusema (tena kwa wakati huu) kina malengo maalum. Hapa hajasema kitu tayari tafsiri zimekuwa nyingi kwa kadri kila mtu anavyotamani iwe. Hata kama hata sema tayari kuna damage fulani hivi ambayo ishatokea. Huyu bwana akija hapa na kusema " yale yote niliyosema mahakamani ndio ukweli wenyewe na MUNGU ni shahidi yangu kuna watu watasema kesha tishwa ndio maana kasema hivi.
Aliloonyesha Deus naungana nawe ni tabia za kike kabisa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Leo baada ya huu uzi kuna watu nimewajua aisee ha!ha! kumbe wewe ndo unatumia hii ID.

Ndio ni mimi Chakaza. Au ulitaka kusema nini?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.

Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.

Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.

Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.

Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.

Ni ushauri tuu.

Asante.

Pasco.

Mkuu pasco kama nimekuelewa na kumuelewa mtoa mada na kuunganisha kilicho ripotiwa hapo mwanzo hapa jf kule ilemela kuwa malya na mchage walikuwa pamoja kule so nadhani ni mwendelezo wa habari na sio kutishiwa kama anavyo sema

My take ni kuwa sasa malya amehama kambi yake na kukimbilia kwa maadui kwa mahasimu

Hii haihusiani na mkwaja

Pasco
 
Wewe pia una matatizo makubwa, pengine kuliko huyu mgonjwa wa akili.

Hapo hatuongelei fasihi tunaongelea kosa la jinai. Kosa la jinai huthibitika kwa kauli yenye ushahidi usio na shaka. Hivi nikikuuliza maswali haya hapa chini una jibu la maana?
1) Una uhakika gani kuwa ni kweli Malya kuna watu wanamtishia maisha
2) Kuna ugumu gani kusema kuwa ametishiwa na mwanachama wa CCM au CHADEMA?
3) Hao wanachama wa CHADEMA waliomtishia kwa nini hawataji majina yao?
4) Polisi walimhoji kabla ya kupelekwa mahakamani, kwa nini hizo siri asizitoe huko polisi kama aliwaogopa watuhumiwa?
5) Kesi ya jinai huwa haina mwisho, kwa maana ya muda. Kama kuna chochote kilimfanya wakati akihojiwa kwa mara ya kwanza ashindwe kuwataja watuhumiwa, na sasa yupo tayari kuwataja, kwa nini asipeleke taarifa hizo polisi ili kesi ianze upya?

NB: Ukishabikia maneno ya kijinga toka kwa mwendawazimu ni dhahiri nawe ni mwendawazimu.

Back
Top Bottom