Wakati wa mimi kusema umefika


- Hiyo demokrasia ya lichama lenu kumpiga ngumi yoyote anayeuliza maswali magumu ndani ya chama chenu bakini na ujinga wenu huko huko wacha kijana aseme tutachambua ukweli upo wapi na uongo upo wapi, kama hmtaki kumsikiliza fungeni Radio zenu!1

Le Mutuz
 
- Mkuu mbona nilikuwa nakuheshimu sana kumbe ndio tabia zako hizi maana huwezi kusema njia ambayo hujawahi kuipitia U know mbona mnajiabisha kwa kudhani mnawaabisha wengine duh umejivua sana nguo hapo kaka kwamba ndio tabia zako hizo!!

Le Mutuz

Mkuu W. J. Malecela pole kwa kukukwaza! Ila wakati mwingine watu huwa wanauzi sana. Wanakuja na hoja zinazochochea hasira kwa makusudi ili uchukie. Zipo hoja ( kama zako zingine) unajua kabisa hizi ni jokes tuu ili pamoja na kujadili mada vilevile furaha na vicheko viwepo. Ila huyu kijana kapitiliza kabisa. Hataki kujifunza kwa waliomzidi maarifa na ufahamu.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Pasco,
Ndio maana mimi ntasema mpaka kesho ZZK ana watu vilaza sana ambao hawawezi kumsaidia. Ni wepesi mno vichwani, wana fikira kiduuchu (short term) sana. At least wewe Pasco ni mjanja mjanja kidogo ingawa bado.....Sometimes you can get back to your senses...

Watu wa design hii hawamfikishi ZZK kokote. Hivi kweli mtu unasema hadharani fulani kamuua fulani na bado vyombo husika vinakuchekea tu? Kweli....?

Hii nchi imekuwa ni ya ajabu sana, Njaa ni kitu kibaya sana...Mungu atusaidie...
 
Kisasi hakilali kikilala ni uchokozi.ulikuwa wp cku zote.
 
Watu wa namna yake si wa kuwashabikia kabisa

Nimemshangaa anaposema eti wakati wake wa kusema umefika alafu hasemi hicho anachotaka kukisema.....the thing is ukisharubuniwa na hawa watu unakuwa mtumwa wa kutimiza matakwa yao hata kama huna la kuongea....may be pia wamemlisha maneno lakini ni too late mikwara na vitisho vya kitoto kabisa....hivi bado wanadhani wataendelea kutumia silaha ya hofu na ikawasaidia hapana waliwaweza akina Lyatonga sio sisi wa kizazi hiki tumedhamiria kukomesha kila hila na dhuluma hata ikibidi kwa gharama ya uhai wetu
 

Mkuu ningefurahi sana kama angekuelewa huyo graduate uchwara. Kosa hilo hata kijana wa darasa la sita anaelewa kuwa lingemletea matatizo lakini yeye kaonyesha kuwa ni kichwa nazi tuu.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
:A S wink: sometimes unawashangaza hata wao ..... hawaamini kama unaweza kuwapa za uso ..soon utaitwa pandikizi la Mbowe......:A S 109:
Mkuu Mtazamo, kwanza asante kwa kutambua kuwa sometimes huwa nawashangaza hata hao!, mimi sina kambi, si na chama, sina watu, bali siku zote nasimama kwenye kweli kwa sababu hatimaye yote yatapita lakini mwisho wa siku, ni kweli tuu ndio itasimama!.

Thanks.

Pasco
 

-Powa nimekusikia!!

Le Mutuz
 
Usimtishe mwache aseme hawa wote waliwahi kifanya kazi cdm makao makuu wanasiri kuwa za mauaji
 
Deus Mallya umenifanya kukumbuka utata wa kifo cha Wangwe, ulikuwa naye kwenye gari;
1. Toka nyumbani wewe ulikuwa ukiendesha gari, ukalipeleka gereji.
2. Baada ya ajali mwili wa Chacha Wangwe umekutwa katika siti ya abiria ya mbele, ikiwa imefungwa seat belt bila kuwepo ndani ya gari wewe dereva uliyekuwa unaendesha gari ile.
3. Wenyeji wa Pandambili namkumbuka Mzee Mwigune aliyekuwa wa kwanza kufika eneo la ajali na kukuta gari ikiwa na abiria tu Chacha Wangwe bila dereva.
4. Baada ya dakika kadhaa mashuhuda wanakuona ukitokea ilikotoke gari kabla ya ajali ukiwa na damu katika shati lako mkononi ukiwa na laptop ya marehemu.
5. Hapa ndipo tunapoanzia kujiuliza process ya kifo chake ilikuwa huko ulikotokea?
6. Nini kilikupeleka pale ukiwa na laptop ya marehemu wakati hukuwemo kipindi gari inapinduka.
7. Ikiwa nyumbani ulionekana ukiendesha gari ile wewe je nani alikupokea usukani?
8. Kama ni Wangwe mwenyewe alikuwa akiendesha,, alihameje kiti toka cha dereva hadi cha abiria akajifunga mkanda kisha akafariki?
9. Laptop ulikuwa nayo tokea wapi, uliichukua wakati gani na kwanini.
10.USHAURI WANGU KWAKO DEUS MALLYA;
Tafuta mwanasheria akushauri kwa kuwa ulishatumikia kifungo chako kidogo huku ukiwa umeacha kovu ambalo kamwe halitafutia kwa wanafamilia, bora ungekaa kimya kwasababu kisheria suala hili lilishaisha vinginevyo ukweli utakao utoa leo utai-provoke mahakama lazima kila kitu kianze upya.
 
Wewe ni jasusi la ikulu lililomwua chacha wangwe
 

Mkuu maelezo yako yamejitosheleza sina sababu ya kuongeza ktk haya'
 

Ni heri wanaoonekana wajinga kwa watu waovu kwenye hii nchi,lakini ni wa maana kwa watanzania walio wengi wenye uhitaji na wanaodhurumiwa haki zao za msingi,always Mungu anakuwa upande wao'
 
Ulikua wapi siku zote?, tuiite nini hii? maana ni zaidi ya njaa na unafiki uliokubuhu,
Nyie mnaoekti uana siasa ni washenzi sana......

Uite ukweli mtupu wa kifo cha Chacha Wangwe kutoka kwa Des Mallya.

Mpuuzi mkubwa wewe ulitaka anyamaze ili muendelee kuua watu hapa nchini?!

Deus sema wala usiogope kama ukisema ukweli hawatakuweza kubwa wewe simamia ukweli usiongeze wala kupunguza mkubwa.
 

Mkuu yawezekana baada ya we kuvhakaza huwa unachakazwa.
 
yote hii ni vugu vugu la uchaguzi, kwa nini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika hazina siasa za Kidemokrasia?
 
Mkuu BMO, asante kwa ushauri huu kwa huyu dogo, wasiwasi wangu sio ukweli kujulikana, bali hii dilly dallying ya nseme nsiseme!, isije akawa silenced jumla!.

Thanks.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…