gogologomonagongio
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 120
- 50
Nikirudi ntaanzia pg 13 labda ntakuta amesema kitu
Bado nakupenda sana....
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!
Le Mutuz
Wahuni jela inawasubiri
Naona hamna cha maana si bora niombe mwaliko wa insta party!!!
Nikirudi ntaanzia pg 13 labda ntakuta amesema kitu
Hii kesi hata mwanasheria/wakili aliyesomea sheria OUT (Open University of Tanzania) atashinda, wala upande wa utetezi haitahitaji wakili aliyepitia vyuo gwiji kama UDSM au Havard. Lumumba mnajihangaisha bure.
Makamanda wenzako walikutetea sana ulipokuja na maelezo yako kwenye ule uzi lakini leo wanakugeuka.kweli tanzania hatuna vijana.
kwani we akili zako zimepona! Mbona
umebunguliwa nyuma mda mrefu.
alitetewa sababu ndicho alichosema mahakamani na ikafunga kesi.
Na wewe zuzu la zito nyamaza tumekuchoka tabia yako ya kujikombaKwanini mna msingizia yeye msaliti? Ngoja amwage mboga
Ulikua wapi siku zote?, tuiite nini hii? maana ni zaidi ya njaa na unafiki uliokubuhu, Nyie mnaoekti uana siasa ni washenzi sana......
Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.