iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,152
- 9,976
Zamani ilkua papuchi/kipochi manyoya, siku hizi ni mbususu..Mkuu mbususu ndo papuchi
Jf Mitano mingine daah
Zamani ilkua papuchi/kipochi manyoya, siku hizi ni mbususu..Mkuu mbususu ndo papuchi
Jf Mitano mingine daah
Mbona kwa hasira ivi sasa??[emoji38]Yaani wewe ndiye wale wale tu afu tofautisha kufahamu mbususu na kuitumia, yeye alikua anataka kuitumia fyuu[emoji57][emoji57]
Kwahiyo mkuu exchange ya pesa au msosi ni kupewa mbususu? Mbona mnataka kufanya wadada wote tunajiuza nyie. Kwa sababu umelipia msosi at the first date ndiyo na mbususu upewe bila kujali factors zingine? Je magonjwa nk umenipima? Aargh hukukosewa kuitwa jambazi wewe
Yaani acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila ingekuwa ni sisi tungenangwa balaaa
Sijawahi kuachwa. Ingawa napoacha huwa naumia.
Chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ukamuona Rotimi aka shemeji[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] Nmemwambia ukweli akija kuachwa muacho mmoja akaumia ndo atakomaa kimapenzi..[emoji3][emoji3]usimfanyie hivo mkuu
Hacheni mambo yenu , aisee[emoji856]Chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kwanza niliogopa,ikabidi nichukue miwani nivae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]Yaani wanavotusemega wadada wa humu siyo warembo na wengine wanaishia kutukimbia mitaani tukionana eti kisa tuko ugly, sasa kumbe na wao hatutofautiani sana yani ni wale wale tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Buhaaaahaaa nyie mnaniua mjueChaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kitu sura ya Rotimiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza niliogopa,ikabidi nichukue miwani nivae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu jf kuna vituko aseeYaani wanavotusemega wadada wa humu siyo warembo na wengine wanaishia kutukimbia mitaani tukionana eti kisa tuko ugly, sasa kumbe na wao hatutofautiani sana yani ni wale wale tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Tutapima tu nisamehr bureSi kosa mkuu , ila kiukweli niliona ni mapema sana na hata magonjwa hatukua tumepima🤔
now that's gangsta[emoji3]Nlishangaa napewa kadi ya harusi tu [emoji2]
[emoji38]Buhaaaahaaa nyie mnaniua mjue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]We unawashwa eeh, kuna mahali umekotiwa au kiherehere na ushamba wa kihaya??[emoji57][emoji57]