Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Duuuu! hivi ndo nimeachwa au??? maana wiki sasa... alianza kununa bila sababu, mara hatuonani tena! mmmh leo nimeamua nipige simu nagundua nimepigwa buloku la kufa mtu..... sielewi elewi hapa kuna nini
 
IMG_0815.jpg
 
....Hatukugombana hata ila zikapita siku nne hapatikani namba zake zote muda huo kila mtu yuko mkoa tofauti, Ikabidi nitafute ndugu zake na rafiki zake wa karibu kujua nini kinaendelea huko, Majibu wanadai hata nyumbani hayupo katoweka tu hata wao hawajui alipo make hakuacha hata viashiria (Ukweli hakuna aliejua alipo)

Baada ya siku kusonga na stress juu, baada ya week ijumaa moja mdogo ake akanicall na kuniambia Times9 imeletwa barua nyumbani dada ndio ivo tena kashaolewa, Nikasema Okay poa hakuna shida...

Ikapita miaka mbili bila kuwahi kuwasiliana hata kidogo, Mdogo wake alienda msalimia dada mtu ndio akawa anamsumbua dogo, mpigie Times9 nataka nimsalimie! Najua nilimfanyia kitu mbaya sana nataka kumuomba msamaha..

......Shortly, Tulisalimiana tu na story za hapa na pale akadai hajui kwanini alichukua uamuzi wa ghafla vile bila sababu alijikuta tu anaolewa ila akiwa bado ananipenda! Nikamwambia acha uhuni wewe.
mkuu,nahisi aliendelea kukutafuta ili mrudiane
 
Mi niliambiwa tu hivi, "S, I'm not interesting with u again" nikahoji kivipi? Nikajibiwa ' kivyovyote tu yani, nikasema ok! Yan mpaka Leo kila mtu hana time na mwenzie na maisha yanaendelea yapata miaka miwili sasa,
 
Kila nikikumbukaga ile kitu huwa najisemea tu yale Hayakuwa Mapenzi
 
Back
Top Bottom