mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,088
- 20,357
SawaKama hutongozi subiria kutongozwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
SawaKama hutongozi subiria kutongozwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sasa ukishanikubalia tuwe wapenzi unataka nini kifate???Sawa, ahsante [emoji849], ila sasa hiyo bikra au used angejuaje wakati ndiyo kashaondoka mapema? Kwahiyo wewe ukishamtongoza mtu ile first date unataka na mbususu mkuu?
[emoji28][emoji28][emoji28]oyaaaKwani kuna shda gan,kam anaufanya kwel huo umalaya asiambiwe?
Ok asante kwa kunielewesha cz mwanzo nilijua changaYuko sahihi tu. Ukiwa kwenye mfungo unashauriwa kuepukana na kila ambalo litapunguza funga yako. Mvumilie ni mwezi mmoja tu.
Nambie mkuu![emoji28][emoji28][emoji28]oyaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo muandiko mmh, bila shaka she's under 18yrs right?, hayo mambo ya kutaka kujua jua vitu wanafanyaga watoto wadogo wakiwa kwenye stage ya ukuaji[emoji848]
Ila mkuu hako kapicha hapo ni ka kwako? Nimejaribu kuzoom in hivi ila kama sielewii[emoji3][emoji119]
Jimbo lipo wazi?Nilijivua gamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Anaandika vibaya jamani sipati akipewa aandike kwenye karatasi khaa!!
Wee katoto unacheka nini😀 umeiona hiyo picha lkn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa ila hayo magonjwa tunakua tumepima saa ngapi sasa mkuu?Sasa ukishanikubalia tuwe wapenzi unataka nini kifate???
Ahsante mkuu rafiki, maisha ni haya haya let's enjoy 😍Nmekupenda dada upo social hongera sn
Ahsante mkuu rafiki, maisha ni haya haya let's enjoy [emoji7]
Hata wewe ni mkuu wangu mkuu ama hupendi?Dada Una wakuu wengi
Hata wewe ni mkuu wangu mkuu ama hupendi?
😀 😀 😀Alini whatsap, sijihisi kuwa na wewe tena, sina furaha kama zamani, "tuachanae" sikumjibu nikaendelea na mambo yangu mengine, akanitumia sms ya kawaida kesho yake asubuh, sikumjibu pia, akapiga sana simu sikupokea, baada ya siku tatu nikapokea, akaniuliza jumbe zangu umeziona? Nimjibu "zipi"?.....
PID anaweza jiambukiza yeye mwenyewe bila hata kufanya matusi.Et wangu kapima PID af kasema nimemuambukiza kanipiga kibut mi kwenda kupima ugonjwa wowote wa zinaa....Wik ya pil sasa nimeuchuna tu
Ni mapema na mfahamiane, hela zake au misosi akikutoa out ulikua unalipia! Au ulikua unamchuna!?Sawa, ahsante 🙄, ila sasa hiyo bikra au used angejuaje wakati ndiyo kashaondoka mapema? Kwahiyo wewe ukishamtongoza mtu ile first date unataka na mbususu mkuu?
Kwahiyo mkuu exchange ya pesa au msosi ni kupewa mbususu? Mbona mnataka kufanya wadada wote tunajiuza nyie. Kwa sababu umelipia msosi at the first date ndiyo na mbususu upewe bila kujali factors zingine? Je magonjwa nk umenipima? Aargh hukukosewa kuitwa jambazi weweNi mapema na mfahamiane, hela zake au misosi akikutoa out ulikua unalipia! Au ulikua unamchuna!?