Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Mie bana alisema hawezi kuwa na mtu wa dini yangu maana sie tunaoa wake wengi ataolewa na msabato mwenzie....juzi nimekutana nae kaolewa na dini kama yangu[emoji28][emoji28]
 
Wasalamu wanaJF..

Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.

Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.

Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.

Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.

Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.

Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.

WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?

Shida sio kuhudumia brother unaonekana ulikua humlombi akarizika
 
Kuna mijutu yenyewe Kila nyuzi ni sehem ya kuchati tu .[emoji848] haileti hata visa....kazi kuharibu nyuzi za wenzao........

nyie mnao fanya huo utopolo jueni kwamba mnakera kichizi jistukieni bana .....
kumbe tunao umia tupo wengi
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Imekaa kibingwa sana hii

Lawama kibao, kwamba simpendi, nimemdharau na shutuma nyingi kweli. Mwisho akataja tarehe tuliyokutana akasema hatakaa asahua na anaomba na mimi nije kupenda nisipo pendwa ili nione uchungu.
Nimefupisha ila lilikuwa gazeti haswa.
 
Nimeenda kucheki game la Man U, narudi na machungu ya 6-1 nakuta bonge la Essay utadhani anaomba Scholarship, kaweka sababu za kijinga jinga plus anaolewa next month.

Nikamtumia 20k nikamwambia mchango wangu, Harusi njema. Missed call za kutosha nikazima na simu.

Sitakagi ujinga
 
Asilimia kubwa ya wanawake huwa hawajui wanachokitaka, wanaendeshwa na mihemuko tu.
 
Nimeenda kucheki game la Man U, narudi na machungu ya 6-1 nakuta bonge la Essay utadhani anaomba Scholarship, kaweka sababu za kijinga jinga plus anaolewa next month.

Nikamtumia 20k nikamwambia mchango wangu, Harusi njema. Missed call za kutosha nikazima na simu.

Sitakagi ujinga
hahaaa,ulipewa kadi mkuu?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeenda kucheki game la Man U, narudi na machungu ya 6-1 nakuta bonge la Essay utadhani anaomba Scholarship, kaweka sababu za kijinga jinga plus anaolewa next month.

Nikamtumia 20k nikamwambia mchango wangu, Harusi njema. Missed call za kutosha nikazima na simu.

Sitakagi ujinga
Umetisha mwamba🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom