Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Sababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Me nlikuwa kwake akanambia ukifika nyumbani niambie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa mbwembe na bashasha
"Baby nimeshafika home.""
Akanambia "sasa sikia.,;"
Nikamjibu "nambie."
Akanijibu ."kuanzia sasa me na wewe basi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamjibu "fresh"
Baada ya hapo niliumia ndani kwa ndani bila kumshirikisha Maumivu yangu.
Baada ya mda akarudi ananibembeleza na kunifatilia nimsamehe...
Nikamjibu tu
"It's over[emoji119][emoji119][emoji119]"
[emoji16]daaah
 
Baada ya kumaliza kozi jkt mujibu wa sheria siku tunarudishiwa simu tu nikajiunga mwenyewe nimtafute mpenzi ile namtumia sms "mambo bby" alichonijibu sasa nan baby wako akasema mm sio baby wako sikujui mm itakua umekosea namba hakyamungu pitshort niliiona nzito had leo hii anajifanya kujtumisha mesej m namzoom tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]
 
Back
Top Bottom