witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,769
Una busara sana...watu wanamzoom tu hapo huyo dogoOndoa hii maana picha inaonekana hivyo kupelekea kukujua ww pamoja na huyo manzi wako.
Una busara sana...watu wanamzoom tu hapo huyo dogoOndoa hii maana picha inaonekana hivyo kupelekea kukujua ww pamoja na huyo manzi wako.
TuruuuHakuna mtu yupo busy kwenye mapenzi.
Ukiona mtu amekosa hata dk1 kukutafuta katika siku nzima yenye 24hrs,ujue wewe si chaguo lake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] si useme tu umeona nini[emoji16][emoji16]Huo muandiko mmh, bila shaka she's under 18yrs right?, hayo mambo ya kutaka kujua jua vitu wanafanyaga watoto wadogo wakiwa kwenye stage ya ukuaji[emoji848]
Ila mkuu hako kapicha hapo ni ka kwako? Nimejaribu kuzoom in hivi ila kama sielewii[emoji3][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Huu uzi umenigusa kiasi fulani maana imagine una date na demu ambaye home kwenu hawamtaki lakini muhuni bado nampigia debe na nilikuwa tayari kumuoa.
Yaani nimedeki sana mwili wake kariabia kila pahala pa mwili wake hakuna sehemu sijawahi fika na hakuna mahaba sijawahi mpa.
Sema kudate na hawa mademu wazuri shida ni zile zile mpunga. Uki upinguza tu kuutoa na yeye anaona mahaba huna. She even tried to lie that ana mimba mara hana mara atoe mara niende kwa wazazi wao basi tafrani.
Sasa siku moja kachukua simu yangu kakuta sms nachat na malaya mmoja najaribu kumdodosa masuala kadhaa ya huduma zake which hamna nilicho nataka zaidi ya kumhadaa tu.
Basi demu ndo kachukua hiyo kama hoja kuwa muhuni me mla mbolea ooh niache hiyo tabia na nimkome. Matusi kibao.
Baada ya kama wiki mbili hivi muhuni sina habari naye demu ana anza kuji tafuta na kusema alikuwa ana nipima. Me kumbe nisha shukuru Mungu kajikatia ticket mwenyewe.
Sema nini demu akikuacha muache aende ila akirudi kuwa naye makini huenda ni mtego au kama vipi temana naye kabisa
Yaani sielewi nilichokiona basi tu😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] si useme tu umeona nini[emoji16][emoji16]
Ha ha ha sawaYaani sielewi nilichokiona basi tu[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] si useme tu umeona nini[emoji16][emoji16]
Haaa haaa jamani mbona mnanichekesha sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kosa mkuu , ila kiukweli niliona ni mapema sana na hata magonjwa hatukua tumepima🤔
Mimi nacheka comments zenu🤣Haaa haaa jamani mbona mnanichekesha sasa
Haa haha haaMimi nacheka comments zenu[emoji1787]
Na nikiona ile picha basi mbavu zangu hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa ngoma eeh[emoji16][emoji16]Si kosa mkuu , ila kiukweli niliona ni mapema sana na hata magonjwa hatukua tumepima[emoji848]
😂😂wanawake tuna huruma sana🙌Ha ha ha sawa
Nyie dhambi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haa haha haa
😂😂wanawake tuna huruma sana🙌
Yaani mbingu ntaisikia tu kwakweli 😀😀Mbinguni huendi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani pole...anakutega kuna siku atakutafuta..akiwa na njaaMimi sikuambiwa sababu yoyote, aliamua tu kujinyamazishaa ndio hadi leo kimyaa na kumuona namuona vizuri tu ila kila mtu na mambo yake hata salamu hatupeani[emoji23]
Ni kweli wakaka wastaarabu tupo[emoji4]Kwani umeskia mbususu inachacha mkuu, acha nibaki nayo tu na wakaka wastaarabu bado wapo dunia hii si kama wewe mzinguaji[emoji57]
Hata mimi hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mbingu ntaisikia tu kwakweli [emoji3][emoji3]