Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,805
- 235,929
Utaelewa baadaye[emoji1787]Hivi hili ni jukwaa la lugha au mi ndio sielewi?
Utaelewa baadaye[emoji1787]Hivi hili ni jukwaa la lugha au mi ndio sielewi?
Hawa wahaya huwa wanaona lugha yao kama english vile,yani full kujisikia[emoji3]Hivi hili ni jukwaa la lugha au mi ndio sielewi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wahaya huwa wanaona lugha yao kama english vile,yani full kujisikia[emoji3]
Mtafte umtakie happy birthday kiroho safi mkuu"Shit me off"
Pamoja na hiyo kauli, mwanaume bado nikaendelea kubembeleza.
Nakiri kuuaibisha ukoo wetu, na siwezi kujisamehe kwakweli[emoji23]
Anyway leo ni siku yake ya kuzaliwa
Hepibesidei ex
Kuolewa zilikua mbwembwe tuu, mpaka leo yupo kwao ana kinda mmoja...nilimzingua ndoa vp akaanza kuleta mahaba.
Hawa wahaya huwa wanaona lugha yao kama english vile,yani full kujisikia[emoji3]
Me mwenyewe happy birthday yake inakarabia hapa nawaza sijui nimpotezeeMtafte umtakie happy birthday kiroho safi mkuu
Hapa hapaMapenzi uFalla sana...
Tuliopigwa block bila kuambiwa chochote tuna comment wapi?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mpatie kiroho safi mkuuMe mwenyewe happy birthday yake inakarabia hapa nawaza sijui nimpotezee
...Kweli ee, Mkuu?Mara zote wa kwanza kusitisha mahusiano lazima arudi tu, hata sijui ni kwa nini [emoji2368]
Itakua kama kujikomba[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mpatie kiroho safi mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hachana na sisiHawa wahaya huwa wanaona lugha yao kama english vile,yani full kujisikia[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yenyewe nilikuwa nafanyaga ila nikaona ni ubatili mtupu ,stress ku feel guilty n.k nikaona huo ujinga kwa hiyo naishi tu ilimradi liende , sina demu,sipigi puri , sitongozi wala nini .nipo nipo tu kama kondoo[emoji36]
MÊmENtO HoMO
[emoji1787]kivipi?[emoji16][emoji16][emoji1787]we unataka kutupa ndoana