Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Kwa hiyo @nuzlat kwako wewe ulikuwa unambishia a.k.a kumdindia?Ndio mkuu
Akileta wazo unalipinga
Kwa hiyo @nuzlat kwako wewe ulikuwa unambishia a.k.a kumdindia?Ndio mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Wee katoto unacheka nini[emoji3] umeiona hiyo picha lkn
Kama ulikua humpi papuchi, na haukua tayari kuhudumiwa, hata akikutumia mpesa, wewe unairudisha, mpaka mfahamiane, basi wewe ni wife material.Kwahiyo mkuu exchange ya pesa au msosi ni kupewa mbususu? Mbona mnataka kufanya wadada wote tunajiuza nyie. Kwa sababu umelipia msosi at the first date ndiyo na mbususu upewe bila kujali factors zingine? Je magonjwa nk umenipima? Aargh hukukosewa kuitwa jambazi wewe
Hivi unajua maana ya mapema wewe, hizo stages zote unazosema wewe hatukufikia, eti kutumiwa pesa kuhudumiwa yaani hatukufika huko, tulikua kwenye early stages za kufahamiana ndiyo na mbususu ikaombwa.Kama ulikua humpi papuchi, na haukua tayari kuhudumiwa, hata akikutumia mpesa, wewe unairudisha, mpaka mfahamiane, basi wewe ni wife material.
Kutoka kwa smart September eleven!!!Nilijivua gamba.
Hapana mkuu nilikuwa msikivu kwake ila mwenzangu alikuwa mkali kila utakacho mshauli hakifai atakacho zungumza yeye niitikie ndioo hata kama nina sababu ya kupinga yaani yeye kila mara kauli yake ilikuwa ni hii"Mimi ni Mwanaume unatakiwa uwe chini yangu"kwa kweli hata ingekuwa wewe ungefanyaje?Kwa hiyo @nuzlat kwako wewe ulikuwa unambishia a.k.a kumdindia?
Akileta wazo unalipinga
Pole. Sasa umepata anayekusikiliza/mnayeshauriana na kusikilizana?Hapana mkuu nilikuwa msikivu kwake ila mwenzangu alikuwa mkali kila utakacho mshauli hakifai atakacho zungumza yeye niitikie ndioo hata kama nina sababu ya kupinga yaani yeye kila mara kauli yame ilikuwa ni hii"Mimi ni Mwanaume unatakiwa uwe chini yangu"kwa kweli hata ingekuwa wewe ungefanyaje?
Mimi kuna baba mdogo angu kaoa mwanamke waliokutana nae kwenye bus, wakatongozana humo, siku iyo hiyo wakafanya matusi guest, na sasa ivi ni mke na mume watoto wa3.Hivi unajua maana ya mapema wewe, hizo stages zote unazosema wewe hatukufikia, eti kutumiwa pesa kuhudumiwa yaani hatukufika huko, tulikua kwenye early stages za kufahamiana ndiyo na mbususu ikaombwa.
Hapana sio kwa simati naiwe kashaija wabaki si?!Kutoka kwa smart September eleven!!!
What happened maana mlikuwa mnafurahisha.
[emoji2][emoji2][emoji2] vipi umemind au unasemaj mkuu?Dada Una wakuu wengi
Nakwenzaki c kashaija? [emoji1][emoji15][emoji15]Hapana sio kwa simati naiwe kashaija wabaki si?!
Hahaaaaaa, Basi samahani Sana mahondaw Mae onganyile. Siku hizi tinkibona buli muntu inywe bombi kutagiana.Hapana sio kwa simati naiwe kashaija wabaki si?!
HahaaaaaaNakwenzaki c kashaija? [emoji1][emoji15][emoji15]
Achia mzigo watu wajilieKwahiyo mkuu exchange ya pesa au msosi ni kupewa mbususu? Mbona mnataka kufanya wadada wote tunajiuza nyie. Kwa sababu umelipia msosi at the first date ndiyo na mbususu upewe bila kujali factors zingine? Je magonjwa nk umenipima? Aargh hukukosewa kuitwa jambazi wewe
Na urembo huo ukaachika kirahisi ivoNdio mkuu
Pole snMimi sikuambiwa sababu yoyote, aliamua tu kujinyamazishaa ndio hadi leo kimyaa na kumuona namuona vizuri tu ila kila mtu na mambo yake hata salamu hatupeani[emoji23]
Kuombwa mbususu nikosa jaman?Hivi unajua maana ya mapema wewe, hizo stages zote unazosema wewe hatukufikia, eti kutumiwa pesa kuhudumiwa yaani hatukufika huko, tulikua kwenye early stages za kufahamiana ndiyo na mbususu ikaombwa.