Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,827
- 236,131
Weka picha tuone.Niliambiwa sina mvuto wakat tumekaa kama wiki 17
Yawezekana alikusingizia
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Weka picha tuone.Niliambiwa sina mvuto wakat tumekaa kama wiki 17
Mmh nna mashaka na wewe wakaka wastaarabu hawajipigii promo , utawaona kwa matendo yao tu, sasa wewe😜Ni kweli wakaka wastaarabu tupo[emoji4]
😀😀😀🙌Hata mimi hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mimi macho yaligonga tu kwenye picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]
😀😀😀 kama mimi kucheki picha nikaanza kurelate ndiyo maana bidada kamwambia hampendi labda😀🙌Mimi macho yaligonga tu kwenye picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Magonjwa gani tena??Sawa ila hayo magonjwa tunakua tumepima saa ngapi sasa mkuu?
Alikuwa sahii kabisa!!Hivi unajua maana ya mapema wewe, hizo stages zote unazosema wewe hatukufikia, eti kutumiwa pesa kuhudumiwa yaani hatukufika huko, tulikua kwenye early stages za kufahamiana ndiyo na mbususu ikaombwa.
Ahaaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wanawake tuna huruma sana[emoji119]
Ila ingekuwa ni sisi tungenangwa balaaaNyie dhambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niondoke mimi[emoji1]
Ukamuona Rotimi aka shemeji[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi macho yaligonga tu kwenye picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yaani wewe ndiye wale wale tu afu tofautisha kufahamu mbususu na kuitumia, yeye alikua anataka kuitumia fyuu😏😏Alikuwa sahii kabisa!!
Kwani wewe unazungumzia kufahamiana kupi?
Kupelekana kwa wazazi au??
Kufahamiana ni pamoja na kuifahamu mbususu ya unayeanza kufahamiana naye[emoji38]
Nawaza tu.
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] kama mimi kucheki picha nikaanza kurelate ndiyo maana bidada kamwambia hampendi labda[emoji3][emoji119]
Yaani wanavotusemega wadada wa humu siyo warembo na wengine wanaishia kutukimbia mitaani tukionana eti kisa tuko ugly, sasa kumbe na wao hatutofautiani sana yani ni wale wale tu😀😀😀[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu jf wanaume nyuma ya keyboard ni kwikwi[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah[emoji134][emoji134]
Yaani alikua na guts za kukuletea kadi ya harusi yake mwenyewe? Duh huu ni ukauzu sana si ungempa makonzi mkuu dharau hii🤔Siki naacha nililetewa kadi ya harusi yake, yaani me nikijuwa kuwa nipo naye kwenye mahusiano kumbe yeye alisha tolewa mahari na mda wote huo sikuwahi kufahamu maana simu card alikuwa nazo tofauti, Akiwa na mimi anaweka hii, akiwa na huyo alomuoa anabadiri, wanawake wanajuwa kuigiza
Aisee naomba Mungu yasinikute maana huyu mtu nampenda adi najichukia
Magonjwa tupime na kinga zitumike mkuu, incase likitokea lolote ujue mfano kinga kupasuka nk na vipi kuhusu French kisses
😀😀usimfanyie hivo mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani wewe ndiye wale wale tu afu tofautisha kufahamu mbususu na kuitumia, yeye alikua anataka kuitumia fyuu[emoji57][emoji57]
𝐃𝐚𝐚𝐚𝐚𝐡, 𝐬𝐨𝐦𝐞𝐭𝐢𝐦𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐮𝐦𝐚 𝐢𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐯𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐲𝐚𝐩𝐢𝐭𝐞Yaani alikua na guts za kukuletea kadi ya harusi yake mwenyewe? Duh huu ni ukauzu sana si ungempa makonzi mkuu dharau hii🤔