Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,609
- 235,500
Katika 24hrs,haupumziki hata dk 1 wewe?Huo muda tunautoa wapi? Tunatafuta chapaa
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Katika 24hrs,haupumziki hata dk 1 wewe?Huo muda tunautoa wapi? Tunatafuta chapaa
[emoji1][emoji1][emoji1] sawa nini ?njoo tuyamalize inbox maana hata mimi nlkuw najarb kumbe ndo ukademka mija KWA mojaAfu nahisi kweli ni wewe [emoji3] sawa tu lkn[emoji19]
Nikae nakunyenyekea kwani wewe ninani? Malaya mmoja wewe,
Nimecopy sms yake
Jamaa alikuwa fala huyu.eti akaja anataka turudiane.eti alikuwa amelewa nilimuudhi Sana.
Me nlikuwa kwake akanambia ukifika nyumbani niambie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa mbwembe na bashasha
"Baby nimeshafika home.""
Akanambia "sasa sikia.,;"
Nikamjibu "nambie."
Akanijibu ."kuanzia sasa me na wewe basi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamjibu "fresh"
Baada ya hapo niliumia ndani kwa ndani bila kumshirikisha Maumivu yangu.
Baada ya mda akarudi ananibembeleza na kunifatilia nimsamehe...
Nikamjibu tu
"It's over[emoji119][emoji119][emoji119]"
Du.kwa akili.zao zilivyo anajua ipo siku atarudi tu kwako
😀[emoji1][emoji1][emoji1] sawa nini ?njoo tuyamalize inbox maana hata mimi nlkuw najarb kumbe ndo ukademka mija KWA moja
Alishakutia lakini?Nikae nakunyenyekea kwani wewe ninani? Malaya mmoja wewe,
Nimecopy sms yake
Jamaa alikuwa fala huyu.eti akaja anataka turudiane.eti alikuwa amelewa nilimuudhi Sana.
Binafsi hata nipime OIL tu ili nijue hapa kitu TIGHT au mzigo feki.Sawa, ahsante [emoji849], ila sasa hiyo bikra au used angejuaje wakati ndiyo kashaondoka mapema? Kwahiyo wewe ukishamtongoza mtu ile first date unataka na mbususu mkuu?
Yuko sahihi tu. Ukiwa kwenye mfungo unashauriwa kuepukana na kila ambalo litapunguza funga yako. Mvumilie ni mwezi mmoja tu.Hilo la kuambiwa mie na wew hatujaoana kwaio inabidi tusitishe mawasiliano mpaka mwezi uishe sijui limekaaje,naomba kujuzwa na wajuvi wa mambo hayo?[emoji847]
Nina manzi nimemuacha sababu hii
Ahsante sana mkuu 😍😍Kati ya vichwa nnavyovielewa sana humu kuna huyu mtu pamoja na sweetapple japo sweetapple sijamuona siku nyngi sana au labda atakuwa amebadili id
Hakuna mtu yupo busy kwenye mapenzi.Nna manzi nimemuacha sababu hii
Anajikuta yuko busy kariakoo kuliko maelezo hakuna text hakuna nini na anakua online ukimuuliza sababu nyingi mara Niko busy
Mstaarabu nimebaki mimi tu[emoji3590][emoji3590]. Naomba tuyajenge financial servicesKwani umeskia mbususu inachacha mkuu, acha nibaki nayo tu na wakaka wastaarabu bado wapo dunia hii si kama wewe mzinguaji[emoji57]
😀😀 mmh mzee wa kuanalyse utakua mstaarabu kweli🤔Mstaarabu nimebaki mimi tu[emoji3590][emoji3590]. Naomba tuyajenge financial services
Yaani ukiniwekea hivi aisee malovee yatakua 3 times😀😀 jamani pesa acha iitwe pesa tu🙌View attachment 1761058usimuwekee nguo chafu kwenye kikapu
Muwekee pesa!!
Hizo ndio nguvu za mapenzi na hutokaa uachike
Never judge a book by its cover mamii. Me nimstaarabu sana. Nipe nafasi nikuthibitishie [emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3] mmh mzee wa kuanalyse utakua mstaarabu kweli[emoji848]