Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Me nlikuwa kwake akanambia ukifika nyumbani niambie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa mbwembe na bashasha
"Baby nimeshafika home.""
Akanambia "sasa sikia.,;"
Nikamjibu "nambie."
Akanijibu ."kuanzia sasa me na wewe basi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamjibu "fresh"
Baada ya hapo niliumia ndani kwa ndani bila kumshirikisha Maumivu yangu.
Baada ya mda akarudi ananibembeleza na kunifatilia nimsamehe...
Nikamjibu tu
"It's over[emoji119][emoji119][emoji119]"
 
[emoji23]pole
 
Mimi sikuambiwa sababu yoyote, aliamua tu kujinyamazishaa ndio hadi leo kimyaa na kumuona namuona vizuri tu ila kila mtu na mambo yake hata salamu hatupeani[emoji23]
Du.kwa akili.zao zilivyo anajua ipo siku atarudi tu kwako
 
Mimi sikuambiwa sababu yoyote, aliamua tu kujinyamazishaa ndio hadi leo kimyaa na kumuona namuona vizuri tu ila kila mtu na mambo yake hata salamu hatupeani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Back
Top Bottom