Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Aisee mkuu kwa Sisi wadada kidogo inakua si kama haijakaa sawa nahisi kama ni unakua cheap hivi , afu nyie wanaume mlivo sasa utaanza kusema kama first date tu alikubali kuhave sex na mimi je anafanya hivo kwa wangapi wanaomtongoza? Na je hayo magonjwa tumepima muda gani, au tunapima hapo hapo then imooo?.
Hapo ndo wewe sasa inatakiwa uwe street smart..ukikaa na mtu lisaa tu utamjua huyu hamnazo au mstaarabu. Kuhusu kupima unapima kwa macho tu. Lakin zaidi ni kutumia 'sixth sense', roho yako ikikataa usiipuuze
 
Hilo la kuambiwa mie na wew hatujaoana kwaio inabidi tusitishe mawasiliano mpaka mwezi uishe sijui limekaaje,naomba kujuzwa na wajuvi wa mambo hayo?[emoji847]
Okota nguo zako kavalie mbele. Safari ishaiva
 
"wale mabaharia wanaozama chumvini ndo wanafanya walokole tuanachwa kila muda ,fikria dem ametoka kwa baharia alokuw ananyonya mbususu,anagegedea ulimi(baharia ulimi anaufanya kuwa mkuyenge)[emoji1][emoji1],analamba sikio mara ananyonya tundu zote mbili anakuw kama aapuliza [emoji1],ampige dogg mara amzamishe uvunguni,SIKU wakiachana ukamtongoza akakukubalia kwenye game ukawa unajigegedea kitajiri [emoji1] unafikir akil yake itaanza kuwaza nani.
 
Unaongea na uchungu vile! 🤣
 
"anakuwa kama anapuliza" hahaa
 
Wasalamu wanaJF..

Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.

Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.

Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.

Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.

Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.

Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.

WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?Hiki kitendawili mpaka leo sipatagi jibu. Kama leo tumeongea vizuri kabisa, baada ya siku tatu nashuhudia status anamvesha mtu pete.
 
Sababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wa kwanza nilimtoa matenga gest...ndio ikawa mwisho hiyo (hapokei cm mpk leo)

Wa pili nilimpigia simu aje club anywe savana kadhaa....kafika pale na shost ake akakuta Kvant kubwa mezani...akaniambia wanaenda chooni mara moja......ndio mpk leo hawatoka huko chooni

Mwingine alifika geto akakuta naskiza wimbo wa WE MPELEKEEE MOTOOOO!!!!
nikashangaa mlango unalia paaah
 
Nafikiri yote hayo uliyataka mwenyewe mkuu,huyo wa pili na tatu
 
Aisee mnachekesha Sana , [emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi huwa mnasubiri Nini mpaka muambiwe hivyo!? Inamaana huwa hamzioni dalili Mbaya ambazo wapenzi wenu wanazo!?

Aisee Mimi nikionaga Mwanamke kaanza madrama yake tu huwa sisubiri tufikie hatua ya kudhalilishana huwa najitoa mdogo mdogo kisha napiga kimya mazima ,
Najiuliza pia huwa hawaoni au ndio kujipa moyo
 
Kuanzia sasa naomba tuachane uwezi kulea mimba au nikipata tatizo lolote
Siku mjibu nikawa kimya...
Ikapita Week 2 akanichek ninamimba nikamjibu sawa.ongera jambo la kheri.
Ila ni ya X wangu anakipato kizur cha kulea mimba na mtoto.nikamjibu sawa ila naomba usinitafute tena mahana msichana nilie nae sasa ni mkali mno..
Baada ya mudah rafiki yake ananiambia ile mimba ilipimwa DNA na kuonekana sio yake jamaa amesitisha uduma..

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mimba inapimwaje DNA?
Ni kwanini mnachukulia DNA kirahisi rahisi?
 
Back
Top Bottom