Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Never judge a book by its cover mamii. Me nimstaarabu sana. Nipe nafasi nikuthibitishie [emoji4][emoji4][emoji4]
"Bado najiuliza moyo wangu nikupee, nikupeee" "usijekua kama wale, waliofanya nijuteee nijutee.
"Je nikupee nikupee?šŸ˜‰
 
"Bado najiuliza moyo wangu nikupee, nikupeee" "usijekua kama wale, waliofanya nijuteee nijutee.
"Je nikupee nikupee?[emoji6]
Moyo wangu unakwambia kuwa, ukinipa utajutia ule muda wote uliopoteza na hao wengine.

Kuna tofauti ya kupendwa, na ile kujihisi from inside kwamba kweli unapendwa [emoji7][emoji7][emoji7].
 
Moyo wangu unakwambia kuwa, ukinipa utajutia ule muda wote uliopoteza na hao wengine.

Kuna tofauti ya kupendwa, na ile kujihisi from inside kwamba kweli unapendwa [emoji7][emoji7][emoji7].
Kwa saundi tu nimekuaminia mkuu mzee wa analysis šŸ˜› moyo wangu chukua ,wewe uwe nayo miwili mimi nisiwe na chochote, damu isukumwe na mapafu mkuušŸ˜€
 
Kwa saundi tu nimekuaminia mkuu mzee wa analysis [emoji14] moyo wangu chukua ,wewe uwe nayo miwili mimi nisiwe na chochote, damu isukumwe na mapafu mkuu[emoji3]
Thanks sana mchumba[emoji7][emoji7][emoji7]. Nitajitahidi damu i flow vizuri mwilini. Naomba nikuachie figo zangu zote mbili, nina imani ukiwa nazo nne utaweza kuchuja uchafu wote, ili usiliharibu penzi letu [emoji3590][emoji3590]
 
Haya bana analysešŸ˜€šŸ˜
 
Alini whatsap, sijihisi kuwa na wewe tena, sina furaha kama zamani, "tuachanae" sikumjibu nikaendelea na mambo yangu mengine, akanitumia sms ya kawaida kesho yake asubuh, sikumjibu pia, akapiga sana simu sikupokea, baada ya siku tatu nikapokea, akaniuliza jumbe zangu umeziona? Nimjibu "zipi"?.....
 
Wasalamu wanaJF..

Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.

Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.

Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.

Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.

Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.

Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.

WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?
Alikuwa Muwazi aliniambia ana mke wake na mtoto na kwamba mda wote alikua ananidanganya ilikua ngumu kukubali but well maisha inabidi yaendelee so i thank God for everything[emoji120]
 
Alikuwa Muwazi aliniambia ana mke wake na mtoto na kwamba mda wote alikua ananidanganya ilikua ngumu kukubali but well maisha inabidi yaendelee so i thank God for everything[emoji120]
Vimeumanaa...
 
Alini whatsap, sijihisi kuwa na wewe tena, sina furaha kama zamani, "tuachanae" sikumjibu nikaendelea na mambo yangu mengine, akanitumia sms ya kawaida kesho yake asubuh, sikumjibu pia, akapiga sana simu sikupokea, baada ya siku tatu nikapokea, akaniuliza jumbe zangu umeziona? Nimjibu "zipi"?.....
mkaushie usijibu chochote,imeisha hiyo,kama alikuwa anatingisha meza iliyojaa vinywaji vya wakwe,tayar vimemwagika
 
Alikuwa Muwazi aliniambia ana mke wake na mtoto na kwamba mda wote alikua ananidanganya ilikua ngumu kukubali but well maisha inabidi yaendelee so i thank God for everything[emoji120]
Ni jambo zuri kuona umeweza kukubaliana na hali. Happy for you.
 
Kuanzia sasa naomba tuachane uwezi kulea mimba au nikipata tatizo lolote
Siku mjibu nikawa kimya...
Ikapita Week 2 akanichek ninamimba nikamjibu sawa.ongera jambo la kheri.
Ila ni ya X wangu anakipato kizur cha kulea mimba na mtoto.nikamjibu sawa ila naomba usinitafute tena mahana msichana nilie nae sasa ni mkali mno..
Baada ya mudah rafiki yake ananiambia ile mimba ilipimwa DNA na kuonekana sio yake jamaa amesitisha uduma..

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
[emoji28]
JamiiForums-223062044.gif
 
Yenyewe nilikuwa nafanyaga ila nikaona ni ubatili mtupu ,stress ku feel guilty n.k nikaona huo ujinga kwa hiyo naishi tu ilimradi liende , sina demu,sipigi puri , sitongozi wala nini .nipo nipo tu kama kondoo[emoji36]

MÊmENtO HoMO
Kama hutongozi subiria kutongozwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom