Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Kuanzia sasa naomba tuachane uwezi kulea mimba au nikipata tatizo lolote
Siku mjibu nikawa kimya...
Ikapita Week 2 akanichek ninamimba nikamjibu sawa.ongera jambo la kheri.
Ila ni ya X wangu anakipato kizur cha kulea mimba na mtoto.nikamjibu sawa ila naomba usinitafute tena mahana msichana nilie nae sasa ni mkali mno..
Baada ya mudah rafiki yake ananiambia ile mimba ilipimwa DNA na kuonekana sio yake jamaa amesitisha uduma..

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Mimba inaweza kupimwa DNA?
 
Wangu nilimwacha mwenyewe sipendagi ujinga kabisa.

Usiku 1 nilimpigia simu akapokea kidume mwenzangu bwana,kwenye namba ya yule niliekuwa namwaitwa baby wangu,cha ajabu mwamba alinambia "Aisee we vipi mbona msumbufu watu wamepunzika saivi".

Pale pale nikasema inatosha na hiyo nilitoka safari 1 tu kwenda mkoa mwingine na kumwacha peke yake.
 
Back
Top Bottom