Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Kwa hiyo mkubwa kabla hajaja kuumba /kutamka hivi vilivyomo nyuma yake kabla havijakuwepo kulikuwa na nini
NAKUBALI KUWA
Kuendelea kutaka kujuwa yaliyokuwepo kabla ya sisi kuwepo ,ni kudadisi jambo lisilokuwa na maslahi yoyote ,kwani hata kama utajuwa itakusaidia nini?
na kama usipojuwa utakuwa umekosa nini?
Hii elimu ya Udadisi ina kikomo na maslahi katika mambo ya msingi kwa maslahi ya binadamu ,lakini si katika hili.
Kwa nini hatudadisi uwezekano wa sisi kuishi bila ya kufaa na tukatafutanjia ya kuweza kuishi tuu?
Kwa nini hatudadisi kuishi bila ya kula na kwenda haja kila siku,kisha kesho tunataka tena kula,Na ujuwe huli mpaka ufanye kazi,
Kwa nini hatudadisi namna ya kuzuia kuumwa kabisa iwe hatuumwi,na ikibidi basi tuvumbue dawa ya kila ugonjwa tulionao duniani?
Kwa nini hatudadisi ,kwa kila tunalolifikiri liwe bila ya kulifanyia juhudi,yaani
kun fa yakun
yaani
ukiona kiu tu pale pale yaje maji kutoka huko yalipo.
Ukimtamani msichana ,aje pale pale akuambie twende tukafanye mambo.
Vipi Udadisi kama huu hautoshi?
Kuendelea kudadisi hali iliyokuwepo Pale Mungu alipokuwa Pweke na kabla ni Kujitia Upumbavuni tuu,
Huyo Mungu mwenyewe hata kumjuwa Ukuu wake na peo wa ufalme wake hatuna ,tutayajuwa yaliyokuwa Nyuma yake.
Lets go Find Him First
 
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
Mkuu Mungu wetu ni omnipotent,meaning that 'He' has unlimited power.So he said and things came to be,kwa hiyo hakuhitaji nyenzo kama wewe na mimi kwenye uumbaji.
 
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
Kabla ya kuumba chochote alikuwa wapi ili aumbe!?
Chochote ninamaanisha hata nafasi wazi au giza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
Anatamka tu kitu kiwe na kinakuwa (Kun faiya Kun).
 
Hii ni elimu kubwa ya udadisi na ni fikirishi sana......
Sio ata fikirishi Ni binadamu kuhoji Mungu alitokea WAP Ni sawasawa na kijiko kuhoji binadamu alitokea wap hakiwezi jua kitu kwa sabbu binadamu hakutengeneza kijko kimjue chanzo chake !
 
mungu maana yake ni ukuu(nguvu zaidi ya.) hivyo basi hata mimi naweza kuwa mungu kama nitaweza kutumia utashi wangu vile ipasavyo kwani nina uwezo wa kutengezeza chochote ambacho nitakuwa nimekimudu kwa utashi nikao kuwa nao,pia mbali na kuumba kuna imani tegemezi naweza kuchukua watoto wadg wenye umri miezi kama 7 au 6 hivi nikaenda nao kuishi mbalii ambapo ni ngumu binadamu kudhuru huko nikaishi nao kwa huwaaminisha mimi ndio kila kitu kwao yaani mungu wao wale watoto wakakua na wakazaana mimi ikafikia umri fulani nikafa wale bado wataamini tu mimi ni mungu na hakuna mwingine zaidi ya mimi huo ni mfano hai...

sasa tuje kwenye hii dhana kuu ya umungu kiukweli haswa watu wa kiafrica iyo dhana tumeletewa na hatukuwa nayo zaidi ya kusujudia machifu,watemi na mizimu na maisha yalikuwa yakienda sawa kabisa na sheria zilikuwapo kulinga na kila kabila kutumia sheria zao kwa njia za kimila.....


tukirudi mwanzo kabisa kuhusiana na vitendea kazi na malighafi za kazi kuwa je huyo mungu ambavyo kama vile tulivyoaminishwa kuwa ndiye aliyeumba dunia hii tunayoishi hii leo alitoa wapi izo nyezo na hizo matilio za kuumbia dunia??......


kwanza kabisa suprime(mungu) nguvu hii haiko moja ziko nyinginyingi kwann nasema ziko nyingi hii nguvu ya umungu si moja ni ushilikiano wa wajuzi wengi natumia jina la WAJUZI kwa sababu tuweze lupata uelewa pasipo na ukakasi,hawa wajuzi walitengeneza kila tuvionavyo na tusivyoviona kwa manamba mengi ya umri mrefu toka huko zama na wapo wengi na pia wanasehemu yao ya kuishi kila linaloendea wao kama watayarishaji wa uundwaji wetu wanakuwa nao sambamba....


NITAENDELEA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri
 
Maandiko yanasema alitamka tu na vikawa. Hata mimes na viumbe vyote, alitamka tu, vikawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama alikuwa akitamka tu kwanini siku ya 7 alichoka akapumzika?

Na yeye jinsi alivyo na akili aliumbwa na nani? Haiwezekani awe alitokea tu... Kama alitokea tu bila chanzo basi hata ulimwengu unaweza kutokeza bila muumbaji au akatokea Mungu mwingine mwenye nguvu kumzidi
 
Sasa kama alikuwa akitamka tu kwanini siku ya 7 alichoka akapumzika?

Na yeye jinsi alivyo na akili aliumbwa na nani? Haiwezekani awe alitokea tu... Kama alitokea tu bila chanzo basi hata ulimwengu unaweza kutokeza bila muumbaji au akatokea Mungu mwingine mwenye nguvu kumzidi
Hoja hii inafikirisha sana kwa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom