wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,281
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo mkubwa kabla hajaja kuumba /kutamka hivi vilivyomo nyuma yake kabla havijakuwepo kulikuwa na nini
God made things out of nothing,
Mungu kaumba vitu bila ya kutumia materials,
Hakuna mwengine awaye yeyote awezaye kuunda vitu bila ya kutumia Materials
Huyo mwenye uwezo wa aina hiyo ni Mmoja peke yake naye Ndo MUngu ndo anayestahiki KUOMBWA MSAADA, KUABUDIWA ,KUTUKUZWA NA KUTIIWA AMRI ZAKE ZOTE.
kwa kuto kutii mamrisho yake ana haki kamili ya kututia adabu kwa utovu wa nidhamu na kiburi cha ujinga wetu.