wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,281
- Thread starter
- #141
Na tujue huko alikotokea ilikuwa ni wapiSasa kama alikuwa akitamka tu kwanini siku ya 7 alichoka akapumzika?
Na yeye jinsi alivyo na akili aliumbwa na nani? Haiwezekani awe alitokea tu... Kama alitokea tu bila chanzo basi hata ulimwengu unaweza kutokeza bila muumbaji au akatokea Mungu mwingine mwenye nguvu kumzidi