Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Sasa hii wewe umeitoa wapi kama kwenye biblia haipo?.
Kuwa mvumilivu..
YESU mwenyewe atakuja kukufundisha hii kitu uliyoniuliza nimeipata wapi atakaporudi kipindi cha Milenium.

Kuna vitu vingi havijawa revealed sababu hatuna imani ya kutosha kuvielewa.
 
Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu, usijisumbue kwa neno lolote
 
Hivyo navyo vileletwa na nani
Vilikuwa na yeye Na yeye!! Yaani vilikuwa ni sehemu ya mwili wake.
kama vile ngozi yako uikate kipande ukaiweka sehemu ikakaa tu badae ukaamua kuitumia.
Siyo tena uulize iliwekwa na nani...

Kwani kabla babako hajajenga nyumba unayoishi ilikuwa nini??...
Je Nyumba ya babako ina fanana ma ya jiranio???

Jitahidi uliza maswali magumu.....
 
Lkn pia mnakosea niliwahi sema.
leo narudia hapa Imani ya Mungu wetu siyo imani ya kila mtu.

Siyo kila atajae mungu ni Mungu wetu sisi tulio wake!!
 
Kuwa mvumilivu..
YESU mwenyewe atakuja kukufundisha hii kitu uliyoniuliza nimeipata wapi atakaporudi kipindi cha Milenium.

Kuna vitu vingi havijawa revealed sababu hatuna imani ya kutosha kuvielewa.
Sasa havijawa revelead lakini wewe unavijua au wewe ndiye yesu mwenyewe?.
 
katika galaxy kuna sayari zaidi ya bilioni yaani huu ulimwengu ni mkubwa hauna mfano kuna picha ilipigwa na chombo cha voyager, umbali wa mamilioni ya milles dunia inaonekana kama kidoti picha ilipigwa miaka 21 iliyopita na chombo hicho
View attachment 1363737

yaani katika ulimwengu dunia ni kama tone la mchanga, yaani tupo wapweke, kuna misayari ipo mingi mingine ipo mbali yaani ulimwengu unatisha, na kuna mambo hta wanasayansi hawayajui anaeyajua ni mungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mkuu...

Nahisi may be kuna uwezakano wa hata baadhi ya sayari zinazoishi watu kama yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom