battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,715
- 2,582
kwani sisi binadamu tuko huru kiasi gani?Muwe mnafikiria nje ya Biblia Basi hata mara moja moja.
Yaani hamuwezi ku-argue kitu nje ya biblia!!! Sasa tuna akili za nini ikiwa tunafikira tu nje ya boksi?
Kizibo
Kule china wanapambana na Kirusi cha Corona kidogo mno na hawajuwi lakufanya.
Kuna Nzige wanaruka mashambani kwetu ,tumesha anza kuhemewa.hatimae tupulizia mazao yetu sumu ya kuuwa nzige kisha sumu ile tunaila wenyewe kwenye nafaka na vegetable kisha tunapata cancer.
Hatuna uwezo wala uhuru kiviiile.
Tunajigamba kwa sababu Presha ipo 120/80 lakini ikichange kidogo tuu kufikia 160/100 wote taharuki inaanza ,hasa kipindi hiki cha joto.
U see sisi hatuna tunachoweza kukimiliki ,hata usingizi wetu ni issue,ukiukosa usingizi ni hatari ,na ukiupata mwingi ni hatari.
who can controll our sleeping ?