Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

mkifundiswa kila kitu material basi una muwazia mpaka mungu
hajui tofauti ya creation na makingi.

making is making something from something mfano unatengeneza mlango kwa kutumia mbao

creating is making something from nothing, no use of any mateal

mfano God made man he didnt create man sababu alichukua udongo lakini mbingu na nchi na vyote nje ya binadamu were created.

God us a Creator
 
Mungu ana mikono? don't be ridiculous...
Hiyo ni lugha yakibinadamu hili uwelewe maaana mungu hata umbo hana yaani ni complicated kuelewa ili kumuelewesha mwanadamu malanyingi inatumika lugha lagiki kwako kuelewa mkuu mfano utasikia “Mungu alisema” mungu hana mdomo, hana sifa yakuongea so ni lugha ya kutuelewesha tu Boss.

Portfolio | 2020
 
Aliagiza material mikoani na duniani kwa ujumla.
Kwa usafiri wa ngamia alituletea mchanga toka arabuni.
Magogo, mawe, n.k vyote hivyo aliagiza vilipokuwa vinapatikana.
Na huko kulikuwa na watu wanauza, hatimae mungu akaumbwa.
 
Dhambi nilizonazo hata huko motoni kama ni kweli kuna moto siku naingia huko utazima maana ni nyingi sana
Usipate shida sana ..andaa maswali yako yote.Siku ukikutana naye njia nyepesi unampiga maswali.
 
Mafundisho sahihi kabsa kutoka katika dini ya haqqi Allah anasema maneno haya katika suratul Baqarah, sura ya pili

2:117. Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi pasina ruwaza; na anapo taka jambo basi huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.
 
Eheee sasa hicho kipunje kilitokea tuu.
Kwa maana hiyo basi mungu ina maana kuna vitu alivikuta au
The big bang theory inasema hapo mwanzo palikuwa na 'singularity' ambapo kapunje kamoja kalikuwa na uzito sawa na kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni (near infinite density) baada ya kulipuka density yake ikaanza kupungua na material zote zikatokea hapo na kuanza kujioangilia katika galaxies na solar systems..
 
Upatikanaji wa 'Materials' ni either aliazima au alishirikiana. Kama inavyofahamika Mungu ni infinite na endless, kwa maana hiyo zipo dalili na tafsiri zisizo wazi juu ya Mungu.

Mungu alimuamba Elon Musk kwa materials na Elon akaumba/kuunda robots za Mars hivyo Elon ni Mungu wa robots, na baada ya miaka 2000 kuwa advanced robots watamtambua Elon kama Mungu huku wao wakiumba pia.

Kinachonitatiza who is the first God?!
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa unaonielewa shida yangu ni hiyo zaidi hapa inaonyesha hata huyo mungu kuna vitu alivikuta ndio nataka kujua hivo vitu vilitoka wapi
Upatikanaji wa 'Materials' ni either aliazima au alishirikiana. Kama inavyofahamika Mungu ni infinite na endless, kwa maana hiyo zipo dalili na tafsiri zisizo wazi juu ya Mungu.

Mungu alimuamba Elon Musk kwa materials na Elon akaumba/kuunda robots za Mars hivyo Elon ni Mungu wa robots, na baada ya miaka 2000 kuwa advanced robots watamtambua Elon kama Mungu huku wao wakiumba pia.

Kinachonitatiza who is the first God?!
 
Hiyo ni lugha yakibinadamu hili uwelewe maaana mungu hata umbo hana yaani ni complicated kuelewa ili kumuelewesha mwanadamu malanyingi inatumika lugha lagiki kwako kuelewa mkuu mfano utasikia “Mungu alisema” mungu hana mdomo, hana sifa yakuongea so ni lugha ya kutuelewesha tu Boss.

Portfolio | 2020
Sasa aliposema kwamba binadamu tu ndio kaumbwa kwa mikono yake Mungu na vitu vingine alitamka tu, anamaanisha nini?
 
Upatikanaji wa 'Materials' ni either aliazima au alishirikiana. Kama inavyofahamika Mungu ni infinite na endless, kwa maana hiyo zipo dalili na tafsiri zisizo wazi juu ya Mungu.

Mungu alimuamba Elon Musk kwa materials na Elon akaumba/kuunda robots za Mars hivyo Elon ni Mungu wa robots, na baada ya miaka 2000 kuwa advanced robots watamtambua Elon kama Mungu huku wao wakiumba pia.

Kinachonitatiza who is the first God?!
Hoja yako kama inakuja hivi lakini inakataa sababu roboti hawazaliani kila mmoja lazima azalishwe direct from factory product za binadamu si kama za Robot robot anatengenezwa akiwa fixed....lakini mwanadamu huja kwa kuzaliwa kwa kutokea kwa mawanadamu mwingine kama ilivyo kwa viumbe hai wengine, hivyo basi kwa muktadha huo Elon Musk atakuwa Mungu wa viumbe vilivyotengenezwa kwa vyuma na kutumia nishati ya umeme.
 
"...Elon ni Mungu wa robots, na baada ya miaka 2000 kuwa ADVANCED robots watamtambua Elon kama Mungu huku wao wakiumba pia."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom