Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

"...Elon ni Mungu wa robots, na baada ya miaka 2000 kuwa ADVANCED robots watamtambua Elon kama Mungu huku wao wakiumba pia."
Akili za Robots zipo programed hawana roho au utashi wa kutambua unless vyote unavyosema viwe programmed yani roboti hawezi kwenda kumwambia roboti mwingine njoo nikusimulie ulimwengu ulivyo atadeal na jinsi alivyopangiwa kufanya tu na atafanya jinsi alivyokuwa orderd na mwanadamu aliyeumbwa na Mungu,roboti ni mashine inayotembea kusema mungu wa mashine may be.
Labda tuongelee sayari ya kufikirika ya Cybertrone ya Transformers kwa kina Optimus Prime(lord primus) na Bumblebee ambao wao walitoka moja kwa moja kwenye sayari nyingine bila kupitia utengenezaji/kuundwa na mwanadamu wao inadhaniwa kuwa ni viumbe wengine walio katika Ulimwengu huu ukiachana na Alliens.
 
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
Mtoa mada sijui unahitaji nini hasa.

1)Unaambiwa hayo materials alisema tu tokea yakatokea.

2)kabla ya kusema hayo materials yatokeaa navyote vyengine alivyosema vitokee palikuwa hakuna kitu Bali yeye tu ndio alikuwepo.

Sijaacha kitu hapo

Portfolio | 2020
 
Akili za Robots zipo programed hawana roho au utashi wa kutambua unless vyote unavyosema viwe programmed yani roboti hawezi kwenda kumwambia roboti mwingine njoo nikusimulie ulimwengu ulivyo atadeal na jinsi alivyopangiwa kufanya tu na atafanya jinsi alivyokuwa orderd na mwanadamu aliyeumbwa na Mungu,roboti ni mashine inayotembea kusema mungu wa mashine may be.
Labda tuongelee sayari ya kufikirika ya Cybertrone ya Transformers kwa kina Optimus Prime(lord primus) na Bumblebee ambao wao walitoka moja kwa moja kwenye sayari nyingine bila kupitia utengenezaji/kuundwa na mwanadamu wao inadhaniwa kuwa ni viumbe wengine walio katika Ulimwengu huu ukiachana na Alliens.
And now seems kuna jambo unalifahamu kuhusu hili suala. Unamaanisha something like this, Mungu wa Binadamu, Mungu wa Transformers, Mungu wa Robots, and so on....

Who knows tushirikishane
 
Mungu ana mikono? don't be ridiculous...
Changia na wewe unacho kielewa kufuatia UZi wa bwana Wa stendi, matusi ya kazi gani? Kila mtu yupo huru kuandika anacho kifahamu kupitia swali lililoulizwa, so na wewe andika kile unacho kijua na ndio elimu yenyewe hiyo
 
Yalikuwa wapi wakati huo hayakuwepo
Pale tunapo muita MUNGU kwa jina hilo ,linamaanisha si kiumbe yeyote yule,
Uwepo wake hauwezi kujadiliwa kwani Yeye yupo,alikuwepo na ataendelea kuwepo,.Vitu vyote havikuwepo kabla Yake,kisha Yeye Mungu akaviumba vitu na vika wepo ikiwemo huo Udongo,maji, mawe n.k,Kisha vitu hivyo vyote vitatoweka(material decay au deth kwa venye uhai) ,kisha Yeye Mungu atarudisha akipendacho katika vitu hivyo akiwemo Bina damu.
Yeye ni MUUMBA-Yaani muanzilishi wa viumbe,hakukopi pahali popote ila ali design yeye kwa elimu na hekima kuu ya Kiuungu.
WACHA MUNGU AITWE MUNGU
 
STORI KUHUSU MUNGU NI ZA KUTUNGA TU USIWE MTUMWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uwepo wako wewe na mimi ni mimba ILIYOTUNGWA baada ya Mwanamume (baba ) kukutana na mwanamke (Mama) wakastarehe kwa kuingiza utupu wa kiume kwenye ule wa kike na kumwaga maji ya uzazi (sperms) .Kisha wakaendelea na shughuli zao za kawaida ,tahamaki baada ya miezi minne Mwanamke (Mama) akaanza kuvimba tumbo (ujauzito na ndo bada ya wastani wa miezi 9 hivi Kikazaliwa kitoto ambaye ndo wewe unayevuta Bangi leo au mimi Mtabibu ninaye kusimulia neno hili leo.
Hivi unadhani Ni nani kule tumboni kafanya kazi ya kutengeneza structure ile ya kiumbe asie fanana na binadamu mwingine duniani? mwenye Finger Print unique na sura unique. ect.?
Ikiwa hujuwi basi Huyo ndo Mungu kaweka ule mpango mzima na kaendelea kushughulika nao.mfumo huo.
 
The only thing MUngu alicho kiumba kwa mikono yake ni MWANADAMU, narudia ni MWANADAMU, huyo tu ndio alitumia hizo raw materials, UDONGO; vingine vyote alikua anatamka tu na KUA
Nimekuelewa! Ila ni kwanini asingetamka tu na binadamu akatokea? ... Je, kulikuwa na makusudi yapi Mungu kumuumba mwanadamu kwa udongo na SIO kwa kutamka tu na KUA???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnafikiria nje ya Biblia Basi hata mara moja moja.

Yaani hamuwezi ku-argue kitu nje ya biblia!!! Sasa tuna akili za nini ikiwa tunafikira tu nje ya boksi?

Kizibo
 
God made things out of nothing,
Mungu kaumba vitu bila ya kutumia materials,
Hakuna mwengine awaye yeyote awezaye kuunda vitu bila ya kutumia Materials
Huyo mwenye uwezo wa aina hiyo ni Mmoja peke yake naye Ndo MUngu ndo anayestahiki KUOMBWA MSAADA, KUABUDIWA ,KUTUKUZWA NA KUTIIWA AMRI ZAKE ZOTE.
kwa kuto kutii mamrisho yake ana haki kamili ya kututia adabu kwa utovu wa nidhamu na kiburi cha ujinga wetu.
 
.....Mi naamini yupo ila yupo busy na awapendao. . ni sawa na baba mwenye
familia 2 moja ataizingatia zaidi. Sisi
wengine hatuna zali na maisha in short
hatupo mbele ya macho ya huyo Roho anayeitwa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom