Ahsante sana kwa taarifa,
Bahati nzuri wengine tulishajichokea na hakuna anayetamani hiz mvi zetu...
Kila la heri...ila pia mkubaliane na matokeo yoyote mtakayopata...kama ambavyo wanaume walishazoea kulizwa vibuyu...!!
Babu DC!!
Mmmmh
Nimesoma vzr post yako naona kama unapenda ila kuna kitu kinakuwekea kauzibe.
je mfano akatokea mtu akakutaka na hizo mvi zako, utakubali au utakataaa?
Wapo wanaotamani mvi zenu ujue?