Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Dada bora ungekuja kwangu tu mimi nipo usariver utainjoi mpaka bhasi
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar



kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

usitufundishe uzembe,
roho mbaya anayo nani?,,,,,,,,mwizi au mwenye mali?
 
yan we mwizi umeshtukiwa
afu waanza kulalamika jamaa anaswaga za kishamba o anaroho mbaya
hapana we acha wizi wako,katafute halali yako yan wezi wenzako
 
Yale mambo hayana utu uzima wala utoto mapenzi ni upofu kama una ndoa tulizana na ndoa yako ndoa na iheshimiwe na watu wote na kama hauna tafuta kipenda roho mfunge pingu mtulie hii onja onja mwisho wake ni mmbaya sana ni hayo tu.
siwezi mvunjia mtu noa nielewe
 
Kibuyu kwenye mapenzi kitu cha kawaida!


Ila kinauma sana mkuu,

Halafu vibuyu havilingani...vingine impact yake hadi walinzi wa Obama lazima waingilie kati...

Acha mchezo na kibuyu wewe...

Babu DC!!
 
ugenini cup ndo yenyewe either ufunge au ufungwe mechi inakuwa tamu sana so kupiga hizo mechi muhimu.

tamu kama jamaa akiperfome on Avarage, ila kama akiwa super performer halafu yeye hajakukubali inakuwa tabu as utakuwa unamsumbua halafu yeye anakupotezea...hujawah kumbwa na hilo?kama kweli unacheza away cup....:crazy:
 
huyo mke mtu kama vipi amunge mumewe kamba mie namtamani nitatoka naye tu iwe mwezi huu au ujao

labda mshkaji awe Dhaifu/chovya chovya/akukubali/akupende, bt kama sivyo hapo kwenye blue hapo unaweza ukajikuta umesubiri miaka bila bila...
au ukajikuta umesubiri mpaka siku mkewe aka-m-frustrate then ndo umpate...
 
Jamaa rafik yangu sana na alinipa story iliyomtokea,kumbe ni ww!HUWEZ KUMPATA ZAID UTAUMBUKA MJIN
 
liambie hilo lijimama!
Mimi nimefurahi kuwa hili jimama limeonja machungu ya kukataliwa na umpendaye.Wanawake wote mjue kwamba tunapowaomba papuchi mnatukatalia nasi tunaumia kama au zaidi ya hili jimama. Sasa tunataka fair play- from both sides!!
 
mimi nimefurahi kuwa hili jimama limeonja machungu ya kukataliwa na umpendaye.wanawake wote mjue kwamba tunapowaomba papuchi mnatukatalia nasi tunaumia kama au zaidi ya hili jimama. Sasa tunataka fair play- from both sides!!

akunyimaye papuchi hukupunguzia maradhi
 
We kweli umeshindikana endelea kuwa king'ang'anizi kama hayajakutokea ya ya Jeje na mke wa mlatie
huyo mke mtu kama vipi amunge mumewe kamba mie namtamani nitatoka naye tu iwe mwezi huu au ujao
 
na mimi naomba gemu na wewe kama sio mchoyo na huna roho mbaya!! wewe unadhani wanaume wote hatujielewi au ni waroho saana eeeeh?? hata kama ingekuwa mm nisingetokelezea ovyo, umekosea hata kama ulimtamani kiasi gani hukuwa na 7bu ya kujipeleka kiasi hicho, mtoto wa kike huna aibu unaomba kutoka na men kwa gharama zako na mara ya kwanza tu chumbani, tena unaanza kufufika wewe?? kwa nn hukuomba kutoka naye kawaida hata lunch au diner ama hata ufukweni kupunga upepo labda yeye naye angeanza hisia na wewe hata kwa kuona upaja au ki chuchu kwa mbaali?? jiheshimu na kujidhamini ndo na sisi tutakuwa na matakwa na wewe!! SAMAHANI KAMA NIMEKUBOA AU KUKUKOSEA BUT NILIKUWA NAWEKA YANGU KULINGANA NA MADA YAKO!!
 
Back
Top Bottom