Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

Hiyo hali huwa inatutikea wanaume tukipenda ukweli..... Yaani tuki over love huwa inakua hivo so cha kufanya tengeneza mazingira ya kumrahisishia
 
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
Kuwa na mpenz ofisi moja ni hatari Sana kwa afya yako hasa pale kunapo kuwa na breakup utaumia Sana

.. Kupanga ni kuchagua

Do the best wenda kakupenda
Au kakutamani
 
Maelezo zaid plz
Hapana sitaweza kuelezea zaidi ila tu uelewe hivyo mkuu

Mengne haya ni mambo yanayo hitaji kujiongeza zaid kwa kutumia ubongo wa mbele nilio sema

Jiongezee kama ifutavyo

Omba kumtembelea au dinner kama mnavyo ita sisi wa degree nne


Hapo utaweza kujua uhalisia wa hisia zenu
 
Awamu Hii Ya Tano Hayana Nafasi Awamu Haya
Yaani Wewe Mwenyewe Umeshaona Jamaa Anakutazama Kwa Jicho La Mwakyembe
Mwambie Mmalize Tatizo
 
Back
Top Bottom