Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

Nipe mda darling nitaongea tu! Shida inakuja nilivokwaminisha mwanzo ni kama rafiki hivyo naogopa kukupoteza kabsa. Maana naweza tamka ukanikataa nikaumia au kupoteza ukaribu wangu wako... kwa sasa hata hivi tulivyo inatosha na nafarijika
 
Wanaume usikurupuke nao subiri kama anakupenda atakuja, kurupuka utongoze akukule uku ana mtu wake mara ndan ya mwezi anakuacha afu mko ofisi moja
Dah kweli....pia ujasiri wa kutongoza mwanaume sina jaman hata kama nampenda vip
 
Ayayayayaaaaa iliwai nikuta jamaa alinielewa sana ila alikuwa hana confidence, akati huo nadate nalijamaa flan mume wa mtu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 anaumia alikuja niambia baada ya miaka3 ivi
i feel you....
 
Unaelekea kumkubalia ila inabidi umchunguze kwanza huyo jamaa kabla haujamkubalia. Kuna watu wana wapenzi wao na wametoka mbali kwahiyo unaweza kujikuta umekuwa mchepuko. Unapigwa mimba, unaachwa na jamaa anaendelea na maisha yake.
Siku zote usipende mapenzi ya kukimbize. Ukitumia akili 98% na hisia 2% utafurahia sana. Kuna mwenzako yeye alikuwa ana mtu wake baada ya kufika kazini akapata mwanaume mwingine. Kilichofuata mwanamke alipewa ujauzito, jamaa akaoa mpenzi wake waliyetoka naye mbali. Msala ukabaki kwa huyo mwanamke. Atamuambiaje jamaa yake kuwa ana mimba wakati wana kama miezi 3 hawajakutana kimwili?
Fikiria x2 kabla ya uamuzi wako.
Kweli wanasemaga the heart is ignorant and irrational so bora kutumia akili zaid bila hivo kaz inaeza geuka ikawa chungu
 
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
Wewe umempenda nadhani, vinginevyo sijui kwanini unahitaji ushauri wetu.

Kama umempenda mwambie.
 
Inatokeaga sana, mm iliwahi kunikuta hiyo wkt nafanya kazi shirika fulani. Almost ofisi nzima walikuwa wanajua tu wapenzi kwa zile action zake lkn hakuwahi kunitamkia wala sikuwahi kujitamkisha.
Tumeishi hivyo kwa miaka mitatu mpk nilipata kazi pengine nikahama. Na baada ya kuolewa husband ndio akasababisha yule jamaa mawasiliano yakapungua sana(!alimtolea shit) japo nilimweleza ukweli ila kwa mazingira yale ilimuwia ngumu uelewa. By then tayari mkaka alikuwa na mke na watoto wawili.
Mara nyingi alisema tu anapenda kampani yangu lkn alikuwa na wivu sana kwangu, ikafika time ht nisipokuwepo kazini, wa kwanza kuulizwa nj yeye
Asante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
 
Inatokeaga sana, mm iliwahi kunikuta hiyo wkt nafanya kazi shirika fulani. Almost ofisi nzima walikuwa wanajua tu wapenzi kwa zile action zake lkn hakuwahi kunitamkia wala sikuwahi kujitamkisha.
Tumeishi hivyo kwa miaka mitatu mpk nilipata kazi pengine nikahama. Na baada ya kuolewa husband ndio akasababisha yule jamaa mawasiliano yakapungua sana(!alimtolea shit) japo nilimweleza ukweli ila kwa mazingira yale ilimuwia ngumu uelewa. By then tayari mkaka alikuwa na mke na watoto wawili.
Mara nyingi alisema tu anapenda kampani yangu lkn alikuwa na wivu sana kwangu, ikafika time ht nisipokuwepo kazini, wa kwanza kuulizwa nj yeye
Duh hii yako kali...
 
Back
Top Bottom