Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa[emoji4]
Vp nawe ushampenda au umevutiwa na zawadi anazokupa,,,vp hana degree nne
 
Mimi sina mengi ya kusema ila mpatie kitumbua iko na njia ziko hapa.
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hahaaa
 
Madam utatombwa uachwe kwenye mataa...usi intertain vibwana vya kazini....ur Queen known your worth[emoji73] jiheshimu weka mipaka ndorobo izo zickuzoee ovyo.
 
Sina huo ujasiri jaman
Yan siwezi
Ebu achana na huyo kijana aliyejaa ulimi mdomoni, fanya ujibu hiyo PM niliyo kutumia...
c3440b18efb2e9b07faf969493c76f4f.jpeg
 
Nikimrahisishia si ataniona easy going au
Mtengenezee mazingira.... Kuendelea kusubiri akuambie itachukua Muda sana.... Hapo asha kupenda hana haja ya kuongea cha kufanya tengeneza mazingira ya kulana nahisi baada ya hapo anaweza funguka na atajituma sana kukuhudumia maana ww ndio utakua kila kitu kwake.... Nakushauri kama unatafuta real love basi ndio Hilo and don't waste this
 
Kwa hiyo ntajuaje kama yupo serious na mm au kantaman tu
 
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa[emoji4]
Kutongozana kunaweza kuwa kwa kuambiana directly kuwa nakupenda ama kwa ishara na hisia. Na ishara na hisia sometimes hutawala sana pale mmoja anapochelea kuwa nikimtamkia waziwazi kuwa huyu nampenda anaweza nikatalia so huyo mtu huopt kutengeneza intimacy.....yaani kwa case ya huyo jamaa anajaribu kukuweke karibu ili ije tokea tu na wewe unamfeel then hapo vitu vingine sasa vita take off automatically. Ni njia nzuri sana hii sababu kwanza inawatengenezea feelings za hali ya juu sana ninyi wote lakini inatengeneza very strong bond ya mapenzi.
Kikubwa tu ninachokusauri kama wewe unaona ni mtu sahihi kwako japo kimuonekano tu achilia mbali tabia unaweza mpokea kwa style hiyo hiyo anayokuja nayo maana ni moja ya mtongoza wa haja tu kama nilivyosema. lkn pia itakusaidia kumsoma vzr hata baadhi ya tabia zake kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano nao.
 
Back
Top Bottom