Kwanini wanawake huwa wanaona kufanya mapenz ni wao ndio wanakua na chakupoteza na sio mwanaume. Why is it to you guys that pussay is more valuable tha dik ? kwani ukiliwa ukaachika inakuwaga ni loss kubwa kwako tu ? You had your privates I had mine, Tulishirikiana ikitokea tumeachana basi wote tuna losi, sio kwamba kuna mtu anakuwa kashinda lottery mwingine kapoteza...You guys should stop that victim act towards the notion of doing sex, it is the same reason wanawake wengine wanauza hiyo kitu sababu anaona hawez kukupa bure you have to pay for it..
NB: Alafu sikuiz kutongozwa na mtu single ni ishue aisee, hiz relationship ni kuporana tu patakapo kunogea ndio unahamia na ukifanikiwa unaoa au kuolewa kabisa. Ukiona mtu anaact single ujue kagombana na bwana ake au kapigwa chin siku si nyingi...Usiogope mtu akiwa na relationship jaribu bahati yako, yeye ndio akwambie haifai nina mume au mke au vitu kama izo, hapo ndio ukaushe...OVA