Naomba wajuzi wa sheria wanijuze jambo hili katika utoaji wa matumizi kwa mtoto

Indoraptor

JF-Expert Member
Aug 30, 2019
248
504
Salaam,

Nianze kwa kutoa background fupi kati ya mimi na mzazi mwenzangu.

Ni mwanamke ambaye nimezaa nae mtoto mmoja, kipindi amejifungua alikuwa akiishi kwa wazazi wangu mkoa tofauti na ninaoshi (nilifanya hivyo kuwa kuwa nilikuwa kwenye utafutaji, hivyo sikuwa mtu wa kutulia).

Baada ya muda aliamua kuondoka na kwenda kwa wazazi wake, sikuwa na shida na hilo kwa kuwa nilitaka akae mahali anapoona ana uhuru, niliendelea na bado naendelea kutoa fedha ya matumizi kwa mtoto. (yeye anajishughulisha kupata chochote kwa matumizi yake binafsi)

Ila sasa imefika hatua ambapo naona ananifanya mgodi wa fedha kwa kuongeza gharama ya vitu visivyo vya lazima kwa mtoto jambo ambalo lipo nje ya uwezo wangu.

Lengo la uzi huu naomba kujua je, Nitakuwa sawa kisheria kusitisha kumpa fedha ya matumizi, badala yake anitajie mahitaji ya mtoto kwa mwezi ninunue hivyo vitu mwenyewe na kumpatia?
 
suluhu muoe
 
Wewe na yeye bado mna uhusiano wa kimapenzi? Ukiendaga kumuona mtoto 'unamchungulia' na mama yake?
 
Back
Top Bottom