Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

Hakukuwa na aja ya kutumia nguvu nyingi kwene kingereza

alafu nguvu haitumikag kuandika kitu yoyote, hii ni nchi huru, unasema unachotaka unaandika lugha unayotaka, HAKUNA MATATA kingereza ni lugha tu ya kawaida, dont feel inferior..
 
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
Una wezzere?
 
Back
Top Bottom