Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Yaani haiwezi pita siku bila kumjadili Zitto, hii yote ni kwa sababu alihamasisha vijana waipende siasa.
Hongera Zitto
 
Jashia Hamis Zito ni project CCM, endelea kumtumia mtamchoka kama Tambwe hiza!!
Mpokeeni maana anatemwa CDM!!
 
Sioni tatizo make yeye ni Mwanakigoma alikuwa nyumbani na toka avuliwe nyadhifa zote ndani ya CHADEMA alikuwa hajarudi nyumbani nao walipata uchungu.
 
Kwa kifupi tu ziko taratibu za chama kwa kiongozi au mbunge kwenda kufanya mikutano.Siyo kujiamulia mtu yeyote na kwenda kuhutubia popote.Vinginevyo chama kisicho na utaratibu siyo chama bali ni genge la wahuni.

Kifupi ni kuwa Zitto ni MHUNI. CDM waki-compromise na Zitto mimi na siasa za chadema itakuwa imetosha. Tutawaaxha waendelee wenyewe
 
Mie nasubiri kwa hamu kubwa kufukuzwa kwake huyu msaliti mkubwa. Hana hata sifa ya kuendelea kuwa mwanachama wachilia mbali kuwa kiongozi. CHADEMA bila msaliti Zitto inawezekana kabisa na mshikamano ndani ya chama utaongezeka kwa kiwango cha juu kabisa.

Aisee, sijui hata kwanini bado hawajamfukuza mpaka leo.... Hakuna mnafiki kama zito, natamani aondoke chadema akaanzishe chama chake, anao wanachama wengi tu watamtosha kwenda kuanzisha chama... Aondoke cdm, tumechoka kumsikia na vituko vyake kila kukicha!...

Kamati kuu tafadhalini tuhurumieni wanachama wenye mapenzi mema na cdm... Hili la zito lifikisheni mwisho jamani
 
Hao wajumbe ni kina nani,wapo wangapi na wamesema wapi? Mbona sugu anakujaga huku songea kufanya mikutano na hana cheo chochote zaidi ya ubunge wa mbeya? Wapi zitto kakashifu viongozi wa chama,kama wafuasi wake mbona yeye anatukanwa pia?

Wewe unauelewa duni sana.
 
Hakuna aliyemkataza Zitto kwenda kwao hata akitaka kuhamishia makazi kwao RUKHSA kufanya hivyo, kinachogomba ni Zitto kwenda kwao kwa minajili ya kukichafua chama na Viongozi wake wote hicho ndicho tusichotaka.

Mtu asiende mkoani kwao?wivu tu
 
Avha upumbavu wewe na mambo yako ya miaka ya sabini... unakaa kufananisha kifo na usingizi... kile chama si cha zitto anachokifanya kweli ni makosa makubwa sana kama kweli yeye ni mzalendo na chama chake mbona yuko peke yake... hajabeba hata Bendera ya chama wala wafuasi wake hawana.. akafanye mkutano m ' moja tu hata hapo dodoma aone cha mtemakuni... ndumilakuwili yule pamoja na wewe taahira wake,,,

Hawa wote matahira?
1533968_635967556465319_1627702990_n.jpg1533968_635967556465319_1627702990_n.jpg
 
Huu ndo ujinga ambao viongozi wa CDM makao makuu wanataka kutulisha! Kwamba wao wana haki ya kuzunguka nchi nzima na kumnanga Zitto lakini yeye hana haki ya kujibu. Upuuzi!!! Ngoja dogo awamalize. Si mlisema ameisha, sasa kilio cha nini? Wabunge wengi hawana vyeo vya kichama lakini huwa wanafanya mikutano mingi tu nchini mbona sijawahi kusikia mkilalamika?

Acha ukilaza na wewe tumia akili na sio makalio how ujiandalie mikutano bila ofisi za chama mkoa kuwa na habari
 
Fukuza Yuda ndani ya umoja na mshikamano wa Chadema. Kwani mnambebeleza yeye amekuwa nani.
 
Si alikuwa na Mwansheria!! Au mwanasheria kachanja mbuga? Huyu jamaa anabebwa na umaarufu wa KIGOMA tu na si wa nchi nzima. Mpigeni chini huyu chizi fasta, kuna vijana wengi wenye masters na uwezo zaidi au kama wake hapa Bongo.
 
Hakuna aliyemkataza Zitto kwenda kwao hata akitaka kuhamishia makazi kwao RUKHSA kufanya hivyo, kinachogomba ni Zitto kwenda kwao kwa minajili ya kukichafua chama na Viongozi wake wote hicho ndicho tusichotaka.

Amekichafuaje chama mbona hamsemi? Na kwa nini hamjadili maudhui ya hotuba yake? Ushabiki kitu kibaya
 
Chadema bana kwa udikteta yaani mbunge kwenda kufanya mkutano jimboni kwake ni makosa, Lema akipokelewa na wapiga kura wake sawa lakini Zitto anaonywa.

ritz kasulu ni jimbo la zitto?
 
Back
Top Bottom